Nakwambia nimewaka ile ngumu!

Yakhe wanitamanisha...hao ngisi urojo na pweza yakhe Sesten Zakazaka:
 
Hebu muulize hakuwekeza kwa mchuchu wakati mambo yapo kwenye mstari? Maana wachuchu wanakumbuka sana fadhila ujue😎😎😎
Mmmhh!! Hao ukifulia nao wanakukimbia
Uwaoni mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mie nasubiri kupitiwa hapa kwa kweli. Hahahaaaa.

Ndio hapo sasa vyakula vya kipwani pwani havijawahi mfilisi mtu.
Kutamanishana jamani ngisi, pweza na vijichachandu kidogo
 
Msisahau kupitia na mihogo ya coco beach
 
Ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…