Nalaani kitendo cha Polisi kumpiga Marungu mtoto wa Kike form three. Tushikamane kwenye hili

Hivi wakati huyo Mzee anatukana mtoto wake alishaondoka hapo au alikua anasikia?
 
Umeishalipia Joho kwanza
 
Hii mindset yako si ya kawaida, Ulaya walikua wanasema waafrika kama wanyama hawana conscience, nilikua nakuja juu kusema huo ni uongo. Siku hizi nakaa kimya, kumbe ni kweli.
 
Kuna mambo kwa kweli ata kuangalia ni shida.

Who on his/her right mind commit such atrocity to a miner, yaani unapiga mtoto mpaka damu za masikio zinamtoka.

Si tayari ushampa kiziwi huyo malaika.

Akili zetu zinatutosha wenyewe waafrica, we are just bad people.
 
Hivi unampiga mtoto na kumuumiza hivi kwa kosa gani? Halafu unakuta watu kama Paskali Mayala wana-support hayo matendo.
 
Inaonesha wewe ni mzushi na mzandiki. Ona ukweli,

 
unawachukua watoto una wahimiza iwe ngao kwenye vurugu
Wewe ni mbwa na mshenzi mkubwa, huna akili kama baba yako, amefanya vurugu gani? Hata kama amefanya vurugu ndiyo atolewe madamu kichwani??? Hakuna jinsi nyingine ya kuwawajibisha? NADHANI UNATUMIA MATAK$ YAKO KWENYE KUFIKIRI. Huyu police aliyempiga anaweza kumpiga mtoto wake wa kumzaa hivyo. Kwa hiyo adhabu iliyobaki siku hizi ni kupiga, kufanya watu wawe vilema na kuua???? Hospitali zenyewe hazina madaktari waliofuzu na madawa halafu police wanaendelea kuleta mambo ya ajabu. Huna akili wewe na huyo mama yako mwenye kitambi, hawezi hata kujitunza.....Hasira zake za kuachika na bwana zake anazihamisha kwa watanganyika.....HATUKUBALI.
 
Kwani wakati polisi wanampiga alikuwepo huyo mtoto na wamempiga kwa sms za WhatsApp?
Stupid question deserves stupid answer.
NIna amini ukirudia kusoma ulicho andika utafikiria kuacha pombe Sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…