Nalaani kitendo cha Polisi kumpiga Marungu mtoto wa Kike form three. Tushikamane kwenye hili

Polisi Hana ruhusa ya kupiga mtu Kwa mujibu wa PGO ,kiufupi mtuhumiwa anapaswa kukamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya Sheria haraka iwezekanavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…