Nalaani vikali DC MOSHI kukamata mafundi ujenzi site kisa wanajenga nyumba isiyokuwa na kibali cha ujenzi

Tatizo ni kwamba hizo building permit ni gharama kubwa sana, sasa mtu ananunua Kiwanja Mil.2 na akiomba kibali anakutana na jumla ya gharama ambayo ni kubwa kuliko bei ya kiwanja, inakatisha tamaa, na watu wanaamua kuotesha tu nyumba kama uyoga!
 
Tatizo ni kwamba hizo building permit ni gharama kubwa sana, sasa mtu ananunua Kiwanja Mil.2 na akiomba kibali anakutana na jumla ya gharama ambayo ni kubwa kuliko bei ya kiwanja, inakatisha tamaa, na watu wanaamua kuotesha tu nyumba kama uyoga!
Sheria zinatumika kama vyanzo vya mapato
 
Katikati hapa dar walikuja sehemu za madale nyumba nyingi zilipigwa chata
Simamisha ujenzi...nenda manispaa ukalupie
Naona baadaye watu kulalamika wakaaitisha,ila walikusanya hela kimtindo

Ova
 
Mleta uzi hajapinga mambo ya vibali
Kasema wapunguze gharama ya vibali vya ujenzi

Ova
 
Katikati hapa dar walikuja sehemu za madale nyumba nyingi zilipigwa chata
Simamisha ujenzi...nenda manispaa ukalupie
Naona baadaye watu kulalamika wakaaitisha,ila walikusanya hela kimtindo

Ova
Ikawaje
 
Toa ujinga mkuu.
Huko ulaya unakosema u mewaifika au unaropoka na huo mshara unaokufanya ushindwe kukumbuka kijijini kwa wazazi wako. Vile hali ya uchumi ulivyo unaweka kibali Cha ujenzi bei juu na unajua nyumba ni hitaji mhimu kwa binadam.

Elimu mnayopata jaribuni kuihusianisha na mazingira halisi sio mkishaajiliwa mnajisahau huko maofisini nyau nyie..
 
We ndo mjinga ambaye unataka nchi nzima iwe squatter ukweli ni kwamba hata uweke Bei chee watanzania hawapendi vitu vizuri ukiwemo wewe

Ndo maana tokea waondoke wazungu sehemu nzuri kama masaki ambazo zimepangiliwa ni chache sana

Tanzania hakuna urban and rural planning watu wanajenga maguest hovyo, bar zinafunguliwa kila corner, hakuna public park mkiambiwa mfuate sheria hamtaki
 
We ndo mjinga ambaye unataka nchi nzima iwe kama squatter ukweli ni kwamba hata uweke Bei chee watanzania hawapendi vitu vizuri ukiwemo wewe

Ndo maana tokea waondoke wazungu sehemu nzuri kama masaki ambazo zimepangiliwa ni chache sana
Elimu Elimu! Wapeni watu elimu sio mnakaa maofisini. Tukiwafata huko mnatuona Kama tunajipe ndekeza. Huduma zenu mbovu. Tena mnahudumia mmeridhika kibali tu mnaanza kuzungusha mtu kama nini?
Kwa style hiyo kwanini watu wasijijengee tu kiholela..

Tukiwambia Elimu mlizozupata zinawafanya mjione miungu watu mnatka kuabudiwa badala ya kutimiza majukumu yenu na kuwasaidia watanzania.

Punguza gharama za vibali watu wajenge. Toa Elimu watu waelimike kuhusu madhara ya ujenzi holela.

Bado tunawatumishi wa kwenye makalatasi na kuishi kimazoea.
 
Mambo ya ajabu kabisa

Ova
Majuzi kule Instagram nimeona DC mmoja ka post video clip yake akikagua madaftari ya wanafunzi kwenye shule moja huko kwake, tena anajisifu kuwa kazi ya ukaguzi inaendelea. Watu wakamuhoji kwamba toka lini yeye amekuwa mkaguzi wa elimu? Mkaguzi wa elimu na wasaidizi wake wana mifumo yao ya ukaguzi na kutoa ripoti, je yeye anaijua na atatoa ripoti kwa nani?
 
 
Alijibuje
 
Mafundi wamezingua mi mwenyewe ni fundi lazima uwe na kopi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Hivyo vibali vyenyewe havitoki kwa wakati.kuna kua na milolongo kibao ambayo haina ulazima.Wanakaa tu vikao uko maofisini badala yakufanya kazi zilizolundikana mezani mwao.alafu wakitoka hapo wanakimbilia kukamata watu nakusitisha ujenzi wa watu wakati wao wenyewe walitakiwa kuwajibika kwanza kwakutoa vibali kwa wakati.Viongozi wetu hawana uwezo wakurahisisha mambo ili iwe rahisi kwa wananchi kufwata taratibu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Wakati watu wengi hawawezi kukaa na fedha muda mrefu matatizo ni mengi, hivyo akizifuma pesa anataka ajenge chapu itakapoishia pesa anatulia! Sasa ukimchelewesha atakula pesa
 
Wwe ni Janja janja! Na wakunyooshe tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…