Nalaani vikali DC MOSHI kukamata mafundi ujenzi site kisa wanajenga nyumba isiyokuwa na kibali cha ujenzi

Sababu kubwa ya Tanzania kuwa na squatter nchi nzima ni watu kuwa na mawazo kama yako

Nchi nyingine haujengi tu kiholela ndo maana sehemu kubwa ya makazi ya watu Tanzania ni kubaya sana

ukienda nchi nyingine kama Europe, china, Japan, Korea unajiuliza hawa watu waliwezaje mbona miji Yao mizuri sana Waliwezaje kuwa na miji mizuri ni kwa sababu ya sheria Kali ya ujenzi ambayo huku Tanzania watu akiwemo mleta uzi hawataki kuifuata wanataka watu wajenge wanavyojisikia

Point yako iko tofauti kabisa na mada aloleta jamaa!
Swala la kupanga mji vizuri sio hivyo vibali vya ujenzi. Hizo nchi unazosema Nyumba zao zimepangika ni kwasababu kabla watu hawajavamia maeneo kwaajili ya makazi, serikali inaenda kupima hivyo viwanja inatengeneza mitaa na njia za miundo mbinu yote Kama Maji&maji taka na umeme kisha wananchi ndo wanauziwa viwanja na kujenga(Yaan unajenga nyumba kila kitu kipo hapo). Sasa ni wapi serikali yetu imefanya hivyo? Squatter zinatokea kutokana na watu wa ardhi kutowahi maeneo na kuyapima kabla wananchi hawajauziana. Leo hii mtu ukiwa tu na shamba lako kisemvule basi unalikata viwanja vidogovidogo vingine hata havitoshi kujenga Banda la ng’ombe!! watu wanauziwa wakianza kujenga ndo Halmashauri zinakuja kudai kibali cha ujenzi!(ujinga mtupu).
Squatters hazisababishwi na vibali vya ujenzi wa Halmashauri.
 
Tena na mkwara mbuzi
 
Heshimu sheria za nchi, kutojua sheria ni upumbavu wako siyo udhuru. Km suala ni njaa kwanini hakwenda kuiba? Hili lilikuwa jukwaa la Great Thinkers limevamiwa na mazuzu. Sintashaanga kuona watakaomwunga mkono mleta uzi, limeshavamiwa km Ukraine
Kwa mtazamo wako sheria ni msahafu kwamba haziwezi badilika na watu hawapaswi kuonyesha udhaifu wa sheria hizo. Jifunze kusoma kiini cha taarifa sio unakurupuka na kujiona wewe ndio unastahili zaidi kwenye hii platform. Jamaa amejaribu kuonyesha udhaifu wa hiyo sheria/utaratibu , utekelezaji na utendaji kazi wa wasimamizi wa hizi mamlaka husika. Ukiangalia hali ya kiuchumi ya walio wengi katika taifa letu gharama hizi za ziada zilizowekwa ni kubwa mno na ni msalaba mzito hivyo kuna kila haja ya kurekebisha na kupunguza gharama hizi ili watu wamudu na kuweza kutii hizi sheria. Lakini kuwakamata mafundi ambao kisheria hawawajobiki kwa kuwa sio professional (elimu yao ni chini ya degree moja) ni kinyume cha sheria. Mtuhumiwa aliyepaswa kuwajibishwa hapo ni mmiliki na sio mafundi.
 
We ndo mjinga ambaye unataka nchi nzima iwe squatter ukweli ni kwamba hata uweke Bei chee watanzania hawapendi vitu vizuri ukiwemo wewe

Ndo maana tokea waondoke wazungu sehemu nzuri kama masaki ambazo zimepangiliwa ni chache sana

Tanzania hakuna urban and rural planning watu wanajenga maguest hovyo, bar zinafunguliwa kila corner, hakuna public park mkiambiwa mfuate sheria hamtaki
Learn to read btn the lines pumbavu wewe. Hoja hapa sio kufuata utaratibu hoja ni gharama kubwa za huo utaratibu uliowekwa. Unaposema watanzania hawapendi vitu vizuri wewe ni raia wa nchi gani na kama sio mtanzania huu uzi unakuhusu nini!?
 
Mambo ni mengi sana.
 
Kosa alofanya mwenye nyumba wanahukumiwa mafundi!

Wataalam nao hawajafuata procedure! Wanadhalilisha mafundi bure tu
waku wa wilaya enzi za mgau waliotumia nafasi zao vibaya wanalagazwa mahakani
 
K
Pamoja na ukiritimba wa vibali vya ujenzi kuwa bei juu ukiambata na mazingira ya rushwa kuanzia wapimaji katika halimashauri nyingi Tanzania!

Lakini haiondoi haki na wajibu wa kila mtu!

Taratibu za ujenzi katika halmashauri zote zinataka mtu yoyote anayehitaji kufanya ujenzi Tanzania lazima;

1. Awe na michoro iliyoidhinishwa kutoka mchoraji aliyesajiliwa (registered architecture) gharama inaweza kua laki 3 hadi 1mil au zaidi
2. Malipo ya kibali cha ujenzi kila manispaa wana bei zake wanachaji kwa square meter kulingana na ukubwa wa eneo linalojengwa (building area) ambapo square mita moja inaweza kuwa (elf 2~10 au zai) hivyo kwa eneo la sq 400 hivyo unaweza kulipia vibali vya ujenzi laki nane au 1mil ili wakupatie building permit

3. Mbali na pesa hiyo bado kuna pesa ya maombi ambayo huwa fixed inaweza kuwa elfu 50 au zaidi etc

Anyway nisirefushe mada! Yote kwa yote hata kama sheria ni ngumu wamiliki wanalazimika kuzifuata kabla ya kujenga!

Mkuu wa wilaya wakiongozana na polisi wamekamata mafundi waliokuwa wakijenga kwenye nyumba iliyosimamishwa ujenzi kwa kutokuwa na vibali!

Swali! Anaetakiwa kukamatwa ni fundi au mmiliki?

What if kama mmiliki wa jengo aliwadanganya mafundi kwamba kila kitu kipo kashakamilisha?

Ni fundi gani na njaa hii atathubutu kumuuliza bosi vibali wakati kazi zenyewe za kusotea?

Unaanzaje kukamata mafundi wabangaizaji innocent na kuwasondeka kwenye difenda wakati jengo linamwenyewe, jengo lipo, mwenyekiti wa mtaa yupo, mjumbe yupo etc!

Cha ajabu kila fundi kaambiwa alipe laki nne ili aachiwe, wapo 15!

Kosa lao kwenda kujenga nyumba pasipo kumhoji bosi wao kibali cha ujenzi!

Waziri Tamisemi mh Bashungwa, na Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu,kazi, Ajira vijana wazee na wenye ulemavu shughulikieni mapema jambo hilo, DC na mkurugenzi hawana hekima!

Rais ikimpendeza fukuza hao ili nao watoke ofisini waone maisha yalivyo magumu kwa wabeba zege

AJIRA ngumu

Pia unaweza kusoma mada hii
Ukumtaja jina huyo kibwengo kwa maslahi ya nani?
 
Sababu kubwa ya Tanzania kuwa na squatter nchi nzima ni watu kuwa na mawazo kama yako

Nchi nyingine haujengi tu kiholela ndo maana sehemu kubwa ya makazi ya watu Tanzania ni kubaya sana

ukienda nchi nyingine kama Europe, china, Japan, Korea unajiuliza hawa watu waliwezaje mbona miji Yao mizuri sana Waliwezaje kuwa na miji mizuri ni kwa sababu ya sheria Kali ya ujenzi ambayo huku Tanzania watu akiwemo mleta uzi hawataki kuifuata wanataka watu wajenge wanavyojisikia
Lakini hizo figisu za mamlaka mbona haujaziongelea hapa?

Unaposimama katikati ya pande mbili kati ya mtoa hoja na mamlaka yakubidi usage kote kote ili kuonesha kama kweli wewe si mnufaika wa madhila ya watu.

Umeshasahau kauli za Waziri Lukuvi kudai ujenzi holela umesababishwa na Serikali na si raia, kwa hiyo skwata zikahalalishwa na kupewa umiliki?

Hilo nimekukumbusha ili maelezo yako yasiegemee upande mmoja.
 
Hajawahi kujenga hata banda la mbuzi ni vigumu sana kuelewa madhila ya vibali vya ujenzi!

Ebu waza ukalipe pesa laki tano kwa watu ambao wamekaa ofisini they don't add anything hata kukupa ushauri wa namna bora ya kujenga they don't! Hata kukusogezea maji na umeme karibu hamna! Hata kukuchongea barabara hamna!

Kibaya zaidi hadi rushwa uwape just to have the building permit!
Yaan 1mil ipotee kwenye mchakato!

Nyumba yenyewe chumba kimoja! Ukipoteza 1m ni sawa na tofali 1200 ambazo zinaweza kujenga vyumba vinne!

Hivyo vibali ni sawa na kupoteza vyumba vinne manispaa!
Huu ni unyonyaji!
Kiukweli vibali vya ujenzi inatakiwa iwe Tsh 100~200 kwa square meter ambapo kwa nyumba yenye square meter 400 gharama yake kibali angalau isivuke elfu 50,000/=
Kila mtu atalipa!
 
Pamoja na ukiritimba wa vibali vya ujenzi kuwa bei juu ukiambata na mazingira ya rushwa kuanzia wapimaji katika halimashauri nyingi Tanzania!

Lakini haiondoi haki na wajibu wa kila mtu!

Taratibu za ujenzi katika halmashauri zote zinataka mtu yoyote anayehitaji kufanya ujenzi Tanzania lazima;

1. Awe na michoro iliyoidhinishwa kutoka mchoraji aliyesajiliwa (registered architecture) gharama inaweza kua laki 3 hadi 1mil au zaidi
2. Malipo ya kibali cha ujenzi kila manispaa wana bei zake wanachaji kwa square meter kulingana na ukubwa wa eneo linalojengwa (building area) ambapo square mita moja inaweza kuwa (elf 2~10 au zai) hivyo kwa eneo la sq 400 hivyo unaweza kulipia vibali vya ujenzi laki nane au 1mil ili wakupatie building permit

3. Mbali na pesa hiyo bado kuna pesa ya maombi ambayo huwa fixed inaweza kuwa elfu 50 au zaidi etc

Anyway nisirefushe mada! Yote kwa yote hata kama sheria ni ngumu wamiliki wanalazimika kuzifuata kabla ya kujenga!

Mkuu wa wilaya wakiongozana na polisi wamekamata mafundi waliokuwa wakijenga kwenye nyumba iliyosimamishwa ujenzi kwa kutokuwa na vibali!

Swali! Anaetakiwa kukamatwa ni fundi au mmiliki?

What if kama mmiliki wa jengo aliwadanganya mafundi kwamba kila kitu kipo kashakamilisha?

Ni fundi gani na njaa hii atathubutu kumuuliza bosi vibali wakati kazi zenyewe za kusotea?

Unaanzaje kukamata mafundi wabangaizaji innocent na kuwasondeka kwenye difenda wakati jengo linamwenyewe, jengo lipo, mwenyekiti wa mtaa yupo, mjumbe yupo etc!

Cha ajabu kila fundi kaambiwa alipe laki nne ili aachiwe, wapo 15!

Kosa lao kwenda kujenga nyumba pasipo kumhoji bosi wao kibali cha ujenzi!

Waziri Tamisemi mh Bashungwa, na Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu,kazi, Ajira vijana wazee na wenye ulemavu shughulikieni mapema jambo hilo, DC na mkurugenzi hawana hekima!

Rais ikimpendeza fukuza hao ili nao watoke ofisini waone maisha yalivyo magumu kwa wabeba zege

AJIRA ngumu

Pia unaweza kusoma mada hii
Huu ni ushenzi
 
Sababu kubwa ya Tanzania kuwa na squatter nchi nzima ni watu kuwa na mawazo kama yako

Nchi nyingine haujengi tu kiholela ndo maana sehemu kubwa ya makazi ya watu Tanzania ni kubaya sana

ukienda nchi nyingine kama Europe, china, Japan, Korea unajiuliza hawa watu waliwezaje mbona miji Yao mizuri sana Waliwezaje kuwa na miji mizuri ni kwa sababu ya sheria Kali ya ujenzi ambayo huku Tanzania watu akiwemo mleta uzi hawataki kuifuata wanataka watu wajenge wanavyojisikia
Huko nako waliweka gharama kubwa za vibali vya ujenzi!!?

Vibali kua bei juu ndio hufanya watu kukwepa na kujenga hovyo bila kufuata utaratibu
 
Back
Top Bottom