Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Maoni ya wananchi kwenye mitandao ya kijamii kuhusu wabunge kupata ajali yanaonyesha kuna watu wenye chuki ya dhati na bunge letu.
Comments zilizopo mitandaoni zinaumiza ndugu wa viongozi hawa nakuwakatisha moyo wanasiasa hasa.
Niombe watanzania tusiwe na chuki yakuombeana kifo. Siyo jambo jema.
Kuhusu ajali, soma Dodoma: Basi lililobeba Wabunge wa Tanzania lagonga Lori na kuwajeruhi Wabunge kadhaa