Nalaani wananchi kushangilia mitandaoni ajali ya basi la wabunge wa JMT

Nalaani wananchi kushangilia mitandaoni ajali ya basi la wabunge wa JMT

Maoni ya wananchi kwenye mitandao ya kijamii kuhusu wabunge kupata ajali yanaonyesha kuna watu wenye chuki ya dhati na bunge letu.

Comments zilizopo mitandaoni zinaumiza ndugu wa viongozi hawa nakuwakatisha moyo wanasiasa hasa.

Niombe watanzania tusiwe na chuki yakuombeana kifo. Siyo jambo jema.
Taifa tunatakiwa kuwa kitu kimoja ila sasa watawa wametugawa ,unategemea nini?
 
Watu wazuri hawafi
Screenshot_20241111-083927_1.jpg
 
Back
Top Bottom