Nalaani wananchi kushangilia mitandaoni ajali ya basi la wabunge wa JMT

Maoni ya wananchi kwenye mitandao ya kijamii kuhusu wabunge kupata ajali yanaonyesha kuna watu wenye chuki ya dhati na bunge letu.

Comments zilizopo mitandaoni zinaumiza ndugu wa viongozi hawa nakuwakatisha moyo wanasiasa hasa.

Niombe watanzania tusiwe na chuki yakuombeana kifo. Siyo jambo jema.

Kuhusu ajali, soma Dodoma: Basi lililobeba Wabunge wa Tanzania lagonga Lori na kuwajeruhi Wabunge kadhaa
hiyo laana yako ingekuwa inafanya kazi c ingewapata wale watekaji na wauaji wa wananchi wasio na hatia
 
Maoni ya wananchi kwenye mitandao ya kijamii kuhusu wabunge kupata ajali yanaonyesha kuna watu wenye chuki ya dhati na bunge letu.

Comments zilizopo mitandaoni zinaumiza ndugu wa viongozi hawa nakuwakatisha moyo wanasiasa hasa.

Niombe watanzania tusiwe na chuki yakuombeana kifo. Siyo jambo jema.

Kuhusu ajali, soma Dodoma: Basi lililobeba Wabunge wa Tanzania lagonga Lori na kuwajeruhi Wabunge kadhaa
Tanzania hatuna wabunge wawakilishi wa wananchi, bali vibaraka wa mafisadi na wezi kodi za wananchi
 
Sasa kama so called wawakilishi wa wananchi wanapopata shida hao wanaowawakilisha wanashangilia basi inabidi wajitafakari kama ni wawakilishi in the first place....

If you ask me they have been out of touch for quite some time..., None are man / women of the People..., rather they are self serving overpaid prima donnas....

Though kwangu mimi they are non entities siwezi kupoteza muda wangu kushangilia au kulia (though kama wafanyacho ni to the detriment ya Taifa basi ninaelewa wanaoshangilia huenda wanasema good riddance)
 
Maoni ya wananchi kwenye mitandao ya kijamii kuhusu wabunge kupata ajali yanaonyesha kuna watu wenye chuki ya dhati na bunge letu.

Comments zilizopo mitandaoni zinaumiza ndugu wa viongozi hawa nakuwakatisha moyo wanasiasa hasa.

Niombe watanzania tusiwe na chuki yakuombeana kifo. Siyo jambo jema.

Kuhusu ajali, soma Dodoma: Basi lililobeba Wabunge wa Tanzania lagonga Lori na kuwajeruhi Wabunge kadhaa
Nimetembela Youtube na Insta kuhusu Wabunge na wale wanaotajwa kama maafisa wa Watoza Ushuru kiukweli Watz Wamechoka.
 
Kumuombea mtu kifo ni haki ya kikatiba. Hata ukifanya sherehe mtu kafa hakuna sheria ya kukuzuia.

Rais Mwinyi katika kitabu chake ameandika kuwa kuna Wanyarwanda Mwanza walifanya sherehe kusheherekea kifo cha rais wa Rwanda. Serikali ikataka kuwakamata iwashitaki. Ikakuta hakuna sheria inayokataza kusheherekea mtu kufa.

Na wewe kuwakemea hivyo ni haki yako ya kikatiba pia.
Kifo ni kifo
 
CCM ishagawa nchi hii. Chuki imepandikizwa taratibu na Sasa inachanua. Kidogo kidogo watu wanaenda wakionyesha rangi zao za kweli halafu siku Moja BOOM, inakuwa kama Somalia.
Viongozi endeleeni kusinzia na kujilimbikizia Mali ili kikilipuka muende mkajifiche nje maana ni dhahiri shayiri mmeshuhudia kuwa hampendwi kwa ajali ndogo TU hii. Mngekufa Kuna watu wangefanya karamu.
 
Chuki ni kubwa mno kwa wabunge na Polisi.
Bahati mbaya ni kwamba wabunge nao walishaamua ubaya ubwela.
Wao mradi wanakula nchi wao na familia zao.
Kwa hii nchi hakuna anayejali.Ila ni ishara mbaya sana bahati mbaya tu hekma imekuwa kitu adimu sana miongoni mwa viongozi wetu
 
Maoni ya wananchi kwenye mitandao ya kijamii kuhusu wabunge kupata ajali yanaonyesha kuna watu wenye chuki ya dhati na bunge letu.
Usilazimishe watu milioni 60 kuwaza kama unavyowaza. Upendo na chuki ni kitu kimoja lakini katika uhalisia tofauti. Mtu anaweza akapenda kitu hichohicho mwingine akachukia. Inategemea na matarajio yake kwa hicho kitu kama yanafikiwa anakipenda na kama hayafikiwi anakichukia.

Kama wewe ulivyo na uhuru wa kuonyesha upendo acha na wenzio watumie uhuru wao kuonyesha chuki zao.
Comments zilizopo mitandaoni zinaumiza ndugu wa viongozi hawa nakuwakatisha moyo wanasiasa hasa.
Mwenye chuki anaweza kuwa na chuki sababu ya comments za wabunge bungeni. Acha watoe mapovu yao yaishe. Mioyo yao ikikata tamaa waache kugombea, wasuse waachie nafasi hizo kwani wananchi wao wanawakatisha tamaa.
Niombe watanzania tusiwe na chuki yakuombeana kifo. Siyo jambo jema.
Uhai ni wa Mungu tusiombeane vifo hakika.
 
Maoni ya wananchi kwenye mitandao ya kijamii kuhusu wabunge kupata ajali yanaonyesha kuna watu wenye chuki ya dhati na bunge letu.

Comments zilizopo mitandaoni zinaumiza ndugu wa viongozi hawa nakuwakatisha moyo wanasiasa hasa.

Niombe watanzania tusiwe na chuki yakuombeana kifo. Siyo jambo jema.

Kuhusu ajali, soma Dodoma: Basi lililobeba Wabunge wa Tanzania lagonga Lori na kuwajeruhi Wabunge kadhaa
Ni haki yao. Kama wanaweza kupenda, wanaweza kuchukia.
Kama wanaaweza kushangilia, wanaweza kuzomea.
Kama wanaweza kubariki, wanaweza kulaani.
Kimsingi, wanaonyesha namna wanavyowachukia hawa viumbe ambao wako madarakani kujineemesha.
Usilaani wala kuchukia. Wametoa mawazo na maoni yao. Ndiyo demokrasia mwanangu.
 
Back
Top Bottom