Nalaani wananchi kushangilia mitandaoni ajali ya basi la wabunge wa JMT

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Hata wewe tunakulaani
 
Unataka wapewe pole wakati hawapendwi??
 
Wajitafakari, huko bungeni wanamwakilisha nani?
 
Kumuombea mtu kifo ni haki ya kikatiba. Hata ukifanya sherehe mtu kafa hakuna sheria ya kukuzuia.

Rais Mwinyi katika kitabu chake ameandika kuwa kuna Wanyarwanda Mwanza walifanya sherehe kusheherekea kifo cha rais wa Rwanda. Serikali ikataka kuwakamata iwashitaki. Ikakuta hakuna sheria inayokataza kusheherekea mtu kufa.

Na wewe kuwakemea hivyo ni haki yako ya kikatiba pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…