Nalaani wananchi kushangilia mitandaoni ajali ya basi la wabunge wa JMT

Mwambie Misime kesho asome taarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu Hilo.
Watu wako bungeni kwa wizi wa kura na wanapitisha maamuzi yanayowaumiza wananchi huku walilipwa posho Nene Kila siku wakijali matumbo Yao! Kwanini watu wasiowaombee kifo, ulemavu na mengineyo? Kwa sababu wakitumia njia za Kidemokrasia wanakutana na wizi wa kura, utekaji, mauaji na kunyimwa Haki. Hakuna njia nyingine isipokua kuwaombea mabaya.
Badala ya kuwataka wajitathmini unawashambulia wananchi. Mpuuzi wewe
 
Maombi yako hayafiki hata usawa wa mlima oldoinyo lengai, unalaani wewe kama nani?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜πŸ˜πŸ˜
 
Ishu ni kwamba kundi kubwa la watanzania wanaishi maisha ya hovyo sababu ya uwepo wa hao washenzi wachache bungeni. Hawapo kwa ajili ya welfare ya taifa bali kwa manufaa yao binafsi. Kutunga sheria kandamizi na kubariki ufisadi na wizi wa serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…