TANZIA Nalaila Kiula aliyekuwa Mbunge wa Iramba Magharibi na Waziri afariki dunia

TANZIA Nalaila Kiula aliyekuwa Mbunge wa Iramba Magharibi na Waziri afariki dunia

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
%23TANZIA%0A%0AMbunge_wa_zamani_wa_Iramba_Magharibi_Nalaila_Kiula_na_Waziri_mstaafu_wa_ujenzi_...jpg

Hii ndiyo Taarifa ambayo imepatikana siku ya leo, Kiula amewahi kuwa Mbunge wa Iramba na waziri wa Ujenzi (1985 - 1995)


Taarifa zaidi zitaendelea kuwajia kwa kadri zinavyotufikia.

Pia soma
 
Waziri wa Ujenzi wa Mzee Ally Hassan Mwinyi ambae alilipuliwa kwny report Rushwa ya 1996 ya Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba
kiula hakushinda kesi ile?

Nadhani Katibu mkuu dr.mlingwa ndio alikutwa na hatia na haikuwa ktk kosa la rushwa.

Ktk utetezi wake kiula alidai alikuwa anafanyiwa fitina za kisiasa.
 
Back
Top Bottom