Nalalamikiwa, nimfanyie nini mpenzi wangu zaidi ya haya?

yani hakuna zaidi ya haya labda tu kama sio chaguo lake,maana mtu ukiwa sio chaguo lake hata ufanye nini na kwenye chaguo lake ukute hafanyiwi hata robo ya unayoyafanya lakini wala hajali.
 
Haya ahsante

kitu kingine kidogo kitakachokusaidia ni hivi ukiona sura ya kununa au kulalamika...maana mtu anaeza asilalamike ila ngozi ya uso na macho vinakuonesha huyu ashaanza yake...usisite kumuuliza wots wrong na y hauishi kutoa manung'uniko bse everything is in ryt place...kaza usichukulie poa...ubishi ndo fani tukutu ya kutusua game ngumu kama hzo..usimrembee hata kidogo...mfano inshu za kushikiana smu au kuombana smu syo sababu nyet ya mtu kununa au kulalama....anajua weakness yako ndo maana anakufanyia ivo, so ni vzur ukawa mtu wa kuquestion na kukazia.
 
ujumla kivipi jirani

Point yangu what else should I do? Pamoja na kujiona mwanamke, najiona kama mama Lowassa ila bado nalalamikiwa jamani wanaume zaidi ya haya kunakuna yapi tena?au ni human nature tu kwamba hatunaga kuridhika? Au kunanii?

hapo kwenye red jirani
 
Huyo hakufunzwa kushukuru na ndio maana anahisi kila anachotendewa ni halali yake mia mia. Shukrani huendana na wema hata kama ni haki. Mfundishe kushukuru huyo la sivyo utasumbuka sana. Wapo wengi tu waliolelewa namna hiyo wao kulalamika tu ndo sahihi. Kila la heri mke mwema
 
Kwanza nikupongeze kwa kumjali mmeo,,thread yako umeongea positive stuff na yote imekuwa positive kiasi mtu akiisoma na kusoma comments anaona ndoa ni nzuri na inavutia.Hata kama analalamikia baadhi ya vitu ni kwa sababu umemfungulia dunia bila kipimo,,kafika na amebwagamoyo,,zaidi naamini anaelewa yote unayomfanyia na yako moyoni kwake anajua namna ya kupay back pasipo na kuwa so emotional..
 
My kaka huwezi amini nimeingia hapa ili nikumention utupe na wewe uzoefu wako. Gelofriend amesema hapo kuwa yeye kazini anatoka Saa 6, so ana advantage pia ingawa ni mtu anayetambua majukumu yake.

Kuna mtu kutambua majukumu yake na kuwa na muda, na kuna kutambua majukumu yako but ukawa na limited time. Ni vile ambavyo nyie wanandoa mnakubaliana tu, kama unaona mkeo yupo occupied kuna tatizo gani kumpunguzia majukumu ya kufua boxer, kubrush viatu, nguo kunyoosha etc. Mme wa gelofriend is one lucky man coz ana mke anayeitambua + ana muda wa kutosha kufanya majukumu yote hayo. So sioni tatizo shem anavyoenjoy, ndo lifestyle waliyoitambua. Na ina utamu wake kama mtu anaapreciate yale unayomfanyia hata kama ni part ya majukumu yako.

(Sorry my kaka niliandika hii reply tangu Saa 10 nikaingia chaka, no net)
 
Last edited by a moderator:
Exactly my kaka, saidianeni tu ili mambo yaende sawa. #teameachother#
 
Last edited by a moderator:

No worries my sista, tuko pamoja. Nashukuru kwa mawazo yako, kumbe tuna common understanding kwenye hili pia
 
Shkamoo babu, kwani kupikiwa ni swala la kutaka? Mwanamke kutimiza majukumu yake ndani ya nyumba ni swala la mtu kutaka?

Kuna watu hawataki ujue? Binafsi sipendi kufanyiwa kila kitu kama kunyoosha nguo, sijui maji ya kuoga na mengine ya namna hiyo.

Jitahidi umuulize ili akupe menu yake. Ila hakikisha ameshiba kabla hujaanza kumuuliza.
 
Kuna watu hawataki ujue? Binafsi sipendi kufanyiwa kila kitu kama kunyoosha nguo, sijui maji ya kuoga na mengine ya namna hiyo.

Jitahidi umuulize ili akupe menu yake. Ila hakikisha ameshiba kabla hujaanza kumuuliza.

I know him, najua anaenjoy....kwa nnavomjua anatamani hata mswaki nimpigishe basi tu lol
Duh babu ningekaa na wewe ningekua mguu juu muda wote
 
Don't tired endelea kuongeza njonjo mwisho wa sik atakusaluti tuu na atakuona kama malaika
 
Wanadamu hatujaumbwa kukamilika...Mamy unayoyafanya ndio hivyo ulivyojaliwa....
 
mara mwisho kwenda kumtembelea mama mkwe ilikuwa lini? muombe ruhusa uende ukamuangalie mama mkwe. hakikisha house girl habaki nyumbani nae aende akasalimie kwao. halafu muache mwenyewe nyumbani,kama mko na watoto nenda nao. akikaa peke yake kama wiki mbili hivi pengine ataona unachokifanya na atajua thamani yako. ujue kuna binaadamu wakati mwingine macho wanayo ila hawaoni. nahisi mumeo ni katika hao(sory for this)
utakaporudi nyumbani msome amebadilika kulalamika? ikiwa bado .tengeneza mazingira ya kwenda out. huku muwe wawili tu na mueleze unavyojisikia anapolalamika na mtengenezee mazingira na yeye awe rahisi kujieleza what is missing.....hope malalamiko yataisha.
ila pia njia nyingine ya kumfanya aone uzuri wa unachofanya ,jaribuni kuwatembelea moja ya rafiki zenu ambayo ndoa yao ni ndoano. pengine atajifunza kuwa anahitajika kutolalamika na huenda akaona ubora wako na akaona kumbe yuko "peponi" bila kujijua halaf anaichezea nafasi.
 
Kama nini vile hebu nisaidie

You need to keep him guessing at times
  • Be funny and sexy nyakati fulani
  • have a strong mother instinct, dume hata liwe na umbo kama LeMutuz huwa ni kama kitoto cha panya kwa mwanamke anayempenda
  • Dont formalize everything, utakua unaboa
  • friendly environment hata kwa rafiki zake, ila uipitilize
  • usafi na kujipenda - vaa akipendacho, sio ukipendacho wewe, na hii ni issue kubwa sana kwa akina mama; men look at women different from how women look at each other... he is the best advisor kwa wardrobe yako
  • Kwenye sex, hata kama unampa mara laki moja, hakikisha haui monotonous and boring
Mengine hamsini ntakuletea kesho kutwa ijayo
 
Point yangu what else should I do? Pamoja na kujiona mwanamke, najiona kama mama Lowassa ila bado nalalamikiwa jamani wanaume zaidi ya haya kunakuna yapi tena?au ni human nature tu kwamba hatunaga kuridhika? Au kunanii?

hapo kwenye red jirani

Aaah sasa jirani hapo sijageneralize nmesema wanaume ili kupata views zenu nini mnapendaga ili nipate shule bila ada
 

Hivi inawezekana kumfundisha mtu mzima kushukuru??? Mmh sidhani aisee, kushukuru na kusema sorry kama vilipita enzi hizo ndo basi tena sidhani kama unaweza kumfundisha mtu mzima au labda kama mwenyewe amedhamiria kujifunza
 

Nakushauri uichunge bahari kwa umakini zaidi. Kuna ladha inachafua maji toka upande wa beach pori.
 

Ha ha ha ha ahsante
 
Mwanaume hata umfanyie nini, kichwa cha chini kikimwambia afanye yake anafanya yake, ila keep it up, dont try soooo hard, it's not healthy, inaonekana kama unafanya hivyo kwa kujihami na kwa kusoma kanuni za kitabuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…