Nalalamikiwa, nimfanyie nini mpenzi wangu zaidi ya haya?

Nalalamikiwa, nimfanyie nini mpenzi wangu zaidi ya haya?

Mbwa mzee kujifunza mbinu mpya hili nalo tatizo tena tatizo kubwa.....

Huwa naona real men The Boss akiwa among wanasema mwanaume anahitaji mambo matatu: food, sex and space. Katika hayo mambo kwakweli am doing the best inawezekana kabisa nna mapungufu yangu ila am doing the best kwakweli...food, napika japo sio boonge moja la mpishi kama farkhina but I cook tena delicious ones, sex hii si kuwa tu ni wajibu ila ni hobby yangu kitu ikiwa hobby kifuatacho itv ni known kabisa, space hapa kidogo pananishinda japo najitahidi ila sio kwa fungulia doggy, anaechungwa ni mbuzi kwa binadamu tunafanya kukaba tu japo kukaba kwenyewe ni kulinda bahari ila hivo hivo tu almradi kuna kibao "Punguza mwendo kazi inaendelea mbele" tunapunguziana speed natoa space kwa kiasi Chake may be majukumu yakinizidi itakua zaidi ya hapo.....
Apart from hivo vitatu nafanya na mengineyo mengi napika mwenyewe simuachii dada wa kazi, mezani naweka mwenyewe kumake sure kila kitu kipo sawa, nguo nasaidiwa kufua ila boxa nafua mwenyewe,nanyoosha mwenyewe, asubuhi naanda maji ya moto napeleka bafuni (bafu halina heater) muda huo nshaweka nguo za kazini standby na viatu nimebrush kabisa mara chache naandaa Chai sio kila siku kwasababu ni mvivu kula bila shaka BADILI TABIA unanishangaa sana make haya mambo hautajagi ha ha ha nishangae tu ukinishangaa nami na kushangaa.
Swala la heshima na kujali nikijifanyia assessment najiona nna 99%,i do respect him much, much kwakweli nikijilinganisha na ndugu, jamaa na rafiki am the best, naweza kuwavisit katikati ya maongezi mara wachambane na waume zao mara wawafokee kitu ambacho mi huwa nashangaa unawezaje kumchamba mmeo au kumfokea mbele za watu mmh sijawahi na sitakaa nithubutu nikikereka nangoja tukiwa wawili nikiona nachelewa kutoa dukuduku naandika meseji.
Kuna shost angu alishawahi kunitembelea akaishia kunishangaa inakuaje nanyoosha nguo za baby dady yeye wanaishi wote ila hajawahi kumfulia wala kumnyooshea nikamshangaa pia na kuzidi kujiona am the best mie ni "mwanamke" hizi huduma nazionaga kwa wamana watu wazima ndo wanawalea waume zao ila mie kwa age yangu tu hii najiona nipo kama mama lowasa ha ha ha...... Point yangu what else should I do? Pamoja na kujiona mwanamke nnaetekeleza wajibu , najiona kama mama lowasa ila bado nalalamikiwa jamani wanaume zaidi ya haya kunakuna yapi tena?au ni human nature tu kwamba hatunaga kuridhika? Au kunanii...???
Hadi naanza kuona maisha magumu sasa
yani hakuna zaidi ya haya labda tu kama sio chaguo lake,maana mtu ukiwa sio chaguo lake hata ufanye nini na kwenye chaguo lake ukute hafanyiwi hata robo ya unayoyafanya lakini wala hajali.
 
Haya ahsante

kitu kingine kidogo kitakachokusaidia ni hivi ukiona sura ya kununa au kulalamika...maana mtu anaeza asilalamike ila ngozi ya uso na macho vinakuonesha huyu ashaanza yake...usisite kumuuliza wots wrong na y hauishi kutoa manung'uniko bse everything is in ryt place...kaza usichukulie poa...ubishi ndo fani tukutu ya kutusua game ngumu kama hzo..usimrembee hata kidogo...mfano inshu za kushikiana smu au kuombana smu syo sababu nyet ya mtu kununa au kulalama....anajua weakness yako ndo maana anakufanyia ivo, so ni vzur ukawa mtu wa kuquestion na kukazia.
 
ujumla kivipi jirani

Point yangu what else should I do? Pamoja na kujiona mwanamke, najiona kama mama Lowassa ila bado nalalamikiwa jamani wanaume zaidi ya haya kunakuna yapi tena?au ni human nature tu kwamba hatunaga kuridhika? Au kunanii?

hapo kwenye red jirani
 
Huyo hakufunzwa kushukuru na ndio maana anahisi kila anachotendewa ni halali yake mia mia. Shukrani huendana na wema hata kama ni haki. Mfundishe kushukuru huyo la sivyo utasumbuka sana. Wapo wengi tu waliolelewa namna hiyo wao kulalamika tu ndo sahihi. Kila la heri mke mwema
 
Kwanza nikupongeze kwa kumjali mmeo,,thread yako umeongea positive stuff na yote imekuwa positive kiasi mtu akiisoma na kusoma comments anaona ndoa ni nzuri na inavutia.Hata kama analalamikia baadhi ya vitu ni kwa sababu umemfungulia dunia bila kipimo,,kafika na amebwagamoyo,,zaidi naamini anaelewa yote unayomfanyia na yako moyoni kwake anajua namna ya kupay back pasipo na kuwa so emotional..
 
Aiseee huyo jamaa yako ana bahati sana, mavitu yote hayo unamfanyia bado analalamika tu??!! hadi kumbrushia viatu, aisee we noma kwa makea, hongera sana!!

BTW are home-stay mum Evelyn Salt? coz najaribu kuimagine how comes unapata muda wa kufanya yote hayo

The worst thing, najaribu kuimagine how comes unamfulia hadi boksa zake!!?? Yaani jamaa ana kazi ya kuzirundika tu au inakuaje? I mean akienda kuoga anaiacha bafuni chafu au anaiacha chumbani chafu ndo anaenda kuoga? Napata ugumu kuelewa practicality ya hii kitu
Heaven Sent hebu share nami uzoefu wako plz
My kaka huwezi amini nimeingia hapa ili nikumention utupe na wewe uzoefu wako. Gelofriend amesema hapo kuwa yeye kazini anatoka Saa 6, so ana advantage pia ingawa ni mtu anayetambua majukumu yake.

Kuna mtu kutambua majukumu yake na kuwa na muda, na kuna kutambua majukumu yako but ukawa na limited time. Ni vile ambavyo nyie wanandoa mnakubaliana tu, kama unaona mkeo yupo occupied kuna tatizo gani kumpunguzia majukumu ya kufua boxer, kubrush viatu, nguo kunyoosha etc. Mme wa gelofriend is one lucky man coz ana mke anayeitambua + ana muda wa kutosha kufanya majukumu yote hayo. So sioni tatizo shem anavyoenjoy, ndo lifestyle waliyoitambua. Na ina utamu wake kama mtu anaapreciate yale unayomfanyia hata kama ni part ya majukumu yako.

(Sorry my kaka niliandika hii reply tangu Saa 10 nikaingia chaka, no net)

Last edited by a moderator:
Nilikuwa sijamsoma vizuri Evelyn Salt, kumbe nature ya kazi yake pia inachangia, ana muda mwingi wa kukaa home.

Manake nilikuwa najaribu kufikiria ratiba ya wifiyo na mimi mwenyewe, ni kwamba hazipishani, tunaondoka asubuhi asubuhi tunarudi late in the evening, wote hoi bin taabani. Sasa muda wa kunifanyia hayo yote atautoa wapi, labda asilale kabisaaa!!! So mengi tu najiongezaga mwenyewe and I don't see a problem

Aliyesema ndoa haina fomula hakukosea I think
Exactly my kaka, saidianeni tu ili mambo yaende sawa. #teameachother#
 
Last edited by a moderator:
My kaka huwezi amini nimeingia hapa ili nikumention utupe na wewe uzoefu wako. Gelofriend amesema hapo kuwa yeye kazini anatoka Saa 6, so ana advantage pia ingawa ni mtu anayetambua majukumu yake.

Kuna mtu kutambua majukumu yake na kuwa na muda, na kuna kutambua majukumu yako but ukawa na limited time. Ni vile ambavyo nyie wanandoa mnakubaliana tu, kama unaona mkeo yupo occupied kuna tatizo gani kumpunguzia majukumu ya kufua boxer, kubrush viatu, nguo kunyoosha etc. Mme wa gelofriend is one lucky man coz ana mke anayeitambua + ana muda wa kutosha kufanya majukumu yote hayo. So sioni tatizo shem anavyoenjoy, ndo lifestyle waliyoitambua. Na ina utamu wake kama mtu anaapreciate yale unayomfanyia hata kama ni part ya majukumu yako.

(Sorry my kaka niliandika hii reply tangu Saa 10 nikaingia chaka, no net)

No worries my sista, tuko pamoja. Nashukuru kwa mawazo yako, kumbe tuna common understanding kwenye hili pia
 
Shkamoo babu, kwani kupikiwa ni swala la kutaka? Mwanamke kutimiza majukumu yake ndani ya nyumba ni swala la mtu kutaka?

Kuna watu hawataki ujue? Binafsi sipendi kufanyiwa kila kitu kama kunyoosha nguo, sijui maji ya kuoga na mengine ya namna hiyo.

Jitahidi umuulize ili akupe menu yake. Ila hakikisha ameshiba kabla hujaanza kumuuliza.
 
I know him, najua anaenjoy....kwa nnavomjua anatamani hata mswaki nimpigishe basi tu lol
Duh babu ningekaa na wewe ningekua mguu juu muda wote
 
Don't tired endelea kuongeza njonjo mwisho wa sik atakusaluti tuu na atakuona kama malaika
 
Wanadamu hatujaumbwa kukamilika...Mamy unayoyafanya ndio hivyo ulivyojaliwa....
 
mara mwisho kwenda kumtembelea mama mkwe ilikuwa lini? muombe ruhusa uende ukamuangalie mama mkwe. hakikisha house girl habaki nyumbani nae aende akasalimie kwao. halafu muache mwenyewe nyumbani,kama mko na watoto nenda nao. akikaa peke yake kama wiki mbili hivi pengine ataona unachokifanya na atajua thamani yako. ujue kuna binaadamu wakati mwingine macho wanayo ila hawaoni. nahisi mumeo ni katika hao(sory for this)
utakaporudi nyumbani msome amebadilika kulalamika? ikiwa bado .tengeneza mazingira ya kwenda out. huku muwe wawili tu na mueleze unavyojisikia anapolalamika na mtengenezee mazingira na yeye awe rahisi kujieleza what is missing.....hope malalamiko yataisha.
ila pia njia nyingine ya kumfanya aone uzuri wa unachofanya ,jaribuni kuwatembelea moja ya rafiki zenu ambayo ndoa yao ni ndoano. pengine atajifunza kuwa anahitajika kutolalamika na huenda akaona ubora wako na akaona kumbe yuko "peponi" bila kujijua halaf anaichezea nafasi.
 
Kama nini vile hebu nisaidie

You need to keep him guessing at times
  • Be funny and sexy nyakati fulani
  • have a strong mother instinct, dume hata liwe na umbo kama LeMutuz huwa ni kama kitoto cha panya kwa mwanamke anayempenda
  • Dont formalize everything, utakua unaboa
  • friendly environment hata kwa rafiki zake, ila uipitilize
  • usafi na kujipenda - vaa akipendacho, sio ukipendacho wewe, na hii ni issue kubwa sana kwa akina mama; men look at women different from how women look at each other... he is the best advisor kwa wardrobe yako
  • Kwenye sex, hata kama unampa mara laki moja, hakikisha haui monotonous and boring
Mengine hamsini ntakuletea kesho kutwa ijayo
 
Point yangu what else should I do? Pamoja na kujiona mwanamke, najiona kama mama Lowassa ila bado nalalamikiwa jamani wanaume zaidi ya haya kunakuna yapi tena?au ni human nature tu kwamba hatunaga kuridhika? Au kunanii?

hapo kwenye red jirani

Aaah sasa jirani hapo sijageneralize nmesema wanaume ili kupata views zenu nini mnapendaga ili nipate shule bila ada
 
Huyo hakufunzwa kushukuru na ndio maana anahisi kila anachotendewa ni halali yake mia mia. Shukrani huendana na wema hata kama ni haki. Mfundishe kushukuru huyo la sivyo utasumbuka sana. Wapo wengi tu waliolelewa namna hiyo wao kulalamika tu ndo sahihi. Kila la heri mke mwema

Hivi inawezekana kumfundisha mtu mzima kushukuru??? Mmh sidhani aisee, kushukuru na kusema sorry kama vilipita enzi hizo ndo basi tena sidhani kama unaweza kumfundisha mtu mzima au labda kama mwenyewe amedhamiria kujifunza
 
Teh gelofriend bila shaka hata ye ukimuuliza anaweza kua hajui may be nikupe kamfano kadunchu jana mchana mida ya kula nimemnawisha mikono nikampakulia akaanza kula mara kidume cha mbegu kinazunguka pale (our son) nikamchukua kumlisha daddy kamaliza kula mie namlisha mtoto akaanza kunawa mwenyewe eeh nkashangaa analalamika kuwa anajinawisha mwenyewe simhudumii au nlitakiwa nimuache kidume cha mbegu nimnawishe? Maisha ni magumu mweh.... Kuna vitu vidunchu ila vinaumizaga kichwa unaweza hata usilale unakiwaza tu japo kidogo

Nakushauri uichunge bahari kwa umakini zaidi. Kuna ladha inachafua maji toka upande wa beach pori.
 
You need to keep him guessing at times
  • Be funny and sexy nyakati fulani
  • have a strong mother instinct, dume hata liwe na umbo kama LeMutuz huwa ni kama kitoto cha panya kwa mwanamke anayempenda
  • Dont formalize everything, utakua unaboa
  • friendly environment hata kwa rafiki zake, ila uipitilize
  • usafi na kujipenda - vaa akipendacho, sio ukipendacho wewe, na hii ni issue kubwa sana kwa akina mama; men look at women different from how women look at each other... he is the best advisor kwa wardrobe yako
  • Kwenye sex, hata kama unampa mara laki moja, hakikisha haui monotonous and boring
Mengine hamsini ntakuletea kesho kutwa ijayo

Ha ha ha ha ahsante
 
Mwanaume hata umfanyie nini, kichwa cha chini kikimwambia afanye yake anafanya yake, ila keep it up, dont try soooo hard, it's not healthy, inaonekana kama unafanya hivyo kwa kujihami na kwa kusoma kanuni za kitabuni.
 
Back
Top Bottom