Nalalamikiwa, nimfanyie nini mpenzi wangu zaidi ya haya?

Nalalamikiwa, nimfanyie nini mpenzi wangu zaidi ya haya?

Anapokuwa analalamika anakuwa serious au yupo kawaida.Yawezekana analalamika kiutani but hamaanishi ili kukufanya usijisahau sana hasa katika hiki kipindi ambacho mna mtoto.Nnachomaanisha usibase kwa mtoto kiasi yeye umsahau.Hongera mana unajitahidi sana aisee
 
Gelofr hizi nyingine hapa nafanya kuassume tu so usikwazike mwaya
1.Kauli zako je especially ukiwa na hasira? Inawezekana ukawa huwezi kumfokea mbele za watu lakini huku ndani humkwepeshi ( maana gelofriend una tumajibu amazing) " kiboro dinda wee" nk

Afu hapo kwenye space, maana sijasahau kama huwa unakaba hadi notifications teh. Huyo ni mumeo learn to trust him unless kuna Vitu anakuwa anafanya ambavyo huvielewi elewi. Hakuna privacy kati yenu lakini usimkabe hadi ikawa kero, Mpe kauhuru kidogo. Honestly hata mimi sipendi mtu ambaye ananikagua 24/7, nahisi kama siaminiki vile.

Umehisi shem ana tumawasiliano na mtu mwingine huko. Please thibitisha kwanza afu deal kwanza na shem alone (nakuaminia kwa katimbwili amazing), asipoelewa basi ndo msake huyo binti umpe "grand warning". Lakini umekuta tu text ushaanza kumchamba mdada, utakuja kumistake hata na ndugu zake. Inaaibisha muda mwingine
 
Umemdekeza sana!

Anadhani wewe ni ----- kwa kuyafanya hayo yote, so anatest zari au anatafutia sababu ya hata akienda kula kwa watu (akibadili mboga) ionekane wewe ndiyo chanzo.

Anza kumkazia taratibu baadhi ya vitu.
 
Wewe ni Bonge la Mke.... Endelea kufanya unachoona kinamridhisha mmeo... alalamikapo ndo mkae na kuongea, ndoa ni taasisi inahitaji mutual agreement katka baadhi ya mambo ambayo unaona mwezi wako analalamika, kama wewe anapokukwanza unamwambia, hivyo kama yy analalama muulize nini kifanyike tabasamu la ndoa lisipate kushuka kamwe
 
May the defendant rise please?

On a serious note; Kimsingi mnachukuliana poa. Peaneni muda tu ili kila mtu aone umuhimu wa mwenzake. You know the saying "if you love someone/something...". We never realize how really good we got it, til we no longer have it.
 
Sema nae! Kuna sababu za yeye kulalamika....!
Pia usitegemee kumridhisha mtu 100% .
 
May the defendant rise please?

On a serious note; Kimsingi mnachukuliana poa. Peaneni muda tu ili kila mtu aone umuhimu wa mwenzake. You know the saying "if you love someone/something...". We never realize how really good we got it, til we no longer have it.

sometimes good things will go for good.... if u let that happen
 
hauna mdogo wako Evelyn Salt!!? maana huyu nilienae hata nusu ya unayofanya hajisumbui nayo....
 
Last edited by a moderator:
Mwambie pia risk za space.....sumu.haijaribiwi kwa kuonja. Lazima ajue nafasi yake kwa shemeji kwanza.

May the defendant rise please?

On a serious note; Kimsingi mnachukuliana poa. Peaneni muda tu ili kila mtu aone umuhimu wa mwenzake. You know the saying "if you love someone/something...". We never realize how really good we got it, til we no longer have it.
 
Umenikumbusha.
Hivi Evelyn Salt si ndio alikuja na mkwara hapa kwa wanaoomba bia kwa pm?????

Gelofr hizi nyingine hapa nafanya kuassume tu so usikwazike mwaya
1.Kauli zako je especially ukiwa na hasira? Inawezekana ukawa huwezi kumfokea mbele za watu lakini huku ndani humkwepeshi ( maana gelofriend una tumajibu amazing) " kiboro dinda wee" nk

Afu hapo kwenye space, maana sijasahau kama huwa unakaba hadi notifications teh. Huyo ni mumeo learn to trust him unless kuna Vitu anakuwa anafanya ambavyo huvielewi elewi. Hakuna privacy kati yenu lakini usimkabe hadi ikawa kero, Mpe kauhuru kidogo. Honestly hata mimi sipendi mtu ambaye ananikagua 24/7, nahisi kama siaminiki vile.

Umehisi shem ana tumawasiliano na mtu mwingine huko. Please thibitisha kwanza afu deal kwanza na shem alone (nakuaminia kwa katimbwili amazing), asipoelewa basi ndo msake huyo binti umpe "grand warning". Lakini umekuta tu text ushaanza kumchamba mdada, utakuja kumistake hata na ndugu zake. Inaaibisha muda mwingine
 
Last edited by a moderator:
Gelofriend unanishangaza ujue afu unaniinspire, kwa age yako ujue unafanya mambo amazing sana. Kumnawisha mume mikono mwee, hata hao mama zetu ni wachache wanafanya hivyo. Nahisi umemdekeza sana shem darlin, kiasi kwamba ukisahau tu kumfanyia ka kitu anaona kama humjali vile. Anataka attention yako 100% na ndicho ambacho umemzoesha miaka yote hii. Ingawa sasa hivi ka junior kapo, lazima kuna attention ihamie kwake. Mfanye asijihisi kuwa anacompete attention yako na junior. Utanisamehe kama ntakukwaza but nahisi shem anahisi labda umehamishia mapenzi kwa junior, otherwise asingecomplain kuwa hujamnawisha while anaona unamlisha juju.

Gelofriend unajua kupalilia ndoa wallahi loooooooh

Umenishtua unajua....
 
Umenikumbusha.
Hivi Evelyn Salt si ndio alikuja na mkwara hapa kwa wanaoomba bia kwa pm?????
Hahahah ndiyo hataki shobo za kuomba bia kisa umepewa reputation point

Ila my reporter Imebidi nicheke, nakumbuka ule uzi tunalalamika wanaume kutaka hadi kuvalishwa socks, maji bafuni, kunawishwa. Kumbe wapo wanaume wanaofanyiwa yote hayo na hawaridhiki. Hata kama ana mapungufu yake ile gelofriend wangu anajitahidi jamani. Evelyn Salt naweka booking ya kitchen party mapemaaa. Mtoto mbaya wewe loooh
 
Last edited by a moderator:
Mwambie pia risk za space.....sumu.haijaribiwi kwa kuonja. Lazima ajue nafasi yake kwa shemeji kwanza.
Wala hakuna risk. Wakipeana space, watajua kama wanastahili kuwa pamoja, ama na watu wengine. They could all be right, but not right for each other.
 
hadi hapo wewe binamu yangu ni wife material....endelea lawama haziishii siwajua wengine sisi tuna element za ubaba saleh...

Ha ha ha eeh binamu mambo ya baba salehe lol
 
Back
Top Bottom