mwanamajimbi
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 601
- 152
atakuwa mnyakyusa huyo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unahitaji mzungu wa ngozi au matendo make namie nna kauzungu, nitakuja na mzungu mwingine tuwe watatu
Hapa sasa unaanza fujo mpenzi wangu Evelyn Salt. Kwani neno mzungu lina utata wowote?
Wewe kaifanye kazi ya babu yako. Kama ni ujira tutaongea. Na kwa ufupi tayari mie na bibi tumeshakubaliana kwenye hii indiscent proposal! Kilichobaki ni utekekelezaji.
Nimekuekewa babu, ntakua hata mpiga picha hivo siku
Kuna wengine wanaume ndio wanajitoa kuliko nyie,
Anyway...ingekuwa vema tungepata maelezo ya upande wa pili (shemeji) tungepata kuelewa kwa kina zaidi.
Alafu Evelyn Salt kuna kitu nakiona psychological kwako kwamba unafikiri upo sahihi na kudhani kwamba your 100 correct
Katika hali uliyonayo na unahitaji solution, unatakiwa uliaproach kwa kujishusha na kujiona just like your notdoing good, nadhan unaweza kupata insight fulan fulan za tatizo lililopo.
Maana kwa jinsi ilivyo itlook like wewe umejitoa kuwa part problem, kudhan kwamba umeshaplay your part, kumbe huenda ikawa sio kweli.
Yeyote asiyejua ku"appreciate" inabidi aachwe huru kwanza aende "huko duniani" akakutane na watu wanaotoa treatment mbaya..hii itawasaidia kuelewa na kujali walichonacho wakirudi..
Mpe hela best Evelyn Salt hapo tu ndo unapokosea 👅👅👅👅
Uwiiiiii hela yangu utaiona kwa tabu sana, kama ni bia utakunywa ila hela hapana baba angu lol
@ Evelyn Salt MPE limbwata
Kwakweli kwa mtazamo wangu, naona roles zako km mama unazitekeleza vizuri tu tena unaenda extra extra miles; hongera sana sana kwa hilo km ni kweli. kitu ninachokushauri, endelea hivyo hivyo. Km mmeo ataendelea na vijimalalamiko vyake despite all the efforts unazomfanyie mi nafukiri uignore. Kwa mtazamo wangu; sioni sababu umfulie mwanaume boxer, umwekee maji, umpigie nguo pasi...?!!!, hell no.., i m doing it my self. Mambo mengine ni mambo ya kiswahili jamani hayana tija...mwanaume unanawishwa mikono!!!? Hou ni zaidi ya umwinyi enzi zile za 18 Centuary.Teh gelofriend bila shaka hata ye ukimuuliza anaweza kua hajui may be nikupe kamfano kadunchu jana mchana mida ya kula nimemnawisha mikono nikampakulia akaanza kula mara kidume cha mbegu kinazunguka pale (our son) nikamchukua kumlisha daddy kamaliza kula mie namlisha mtoto akaanza kunawa mwenyewe eeh nkashangaa analalamika kuwa anajinawisha mwenyewe simhudumii au nlitakiwa nimuache kidume cha mbegu nimnawishe? Maisha ni magumu mweh.... Kuna vitu vidunchu ila vinaumizaga kichwa unaweza hata usilale unakiwaza tu japo kidogo
Nakushauri uichunge bahari kwa umakini zaidi. Kuna ladha inachafua maji toka upande wa beach pori.
Kweli kabisa yani jamaa pamoja na kulalamika lakini anashindwa kubadili gia angani!Nadhani keshapewa na ndiyo maana jamaa analalamika bila kuchukua hatua kama tunavyofanyaga...lol!