Nalazimishwa kumuoa binti niliyemzalisha lakini nimegoma. Sheria za nchi zinasemaje?

Nalazimishwa kumuoa binti niliyemzalisha lakini nimegoma. Sheria za nchi zinasemaje?

G4N

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
4,283
Reaction score
9,925
Imetokea kuna binti 21 yrs, nilikuwa napunguza naye upwiru (siyo mchumba), akapata mimba na kujifungua mtoto. Wazazi wake hawanijui hata chembe maana miji (, hometowns) yetu ni tofauti na iko mbalimbali lkn binti kanitaja kwao kuwa mimi ndiye mhusika.

Sasa Jana jioni, baada tu ya mtoto kutimiza miezi 2 baba wa binti kamtimua na kumtaka binti yake aje aishi nami niliyempachika mimba.

Baada ya tafakuri pana na mshikaji wangu wa karibu tukaukwepa mtego huo. Maswali yalikuwa haya:-

1. Kwao hatupajui na ndugu zake hatuwajui, huyu binti akifa je?
2. Itakuwa vipi endapo wazazi wake watatóa taarifa polisi kuwa binti yao kapotea? Nani atatuelewa?

Tukaamua kuwa " kwa kuwa kurudi kwao haiwezekani kutokana na umbali, tutoe taarifa kwa mjumbe na alale kwa mjumbe, halafu kesho yake ageuze kurudi kwao. Tukafanya hivyo na asubuhi akapewa nauli na hela ya kula kisha akapandishwa gari.

Je, wadau mpk hapa niko salama? Sheria zinasemaje kuhusu kuzaa na mtu vs kumuoa? Mzazi huyu (baba wa binti) siwezi kumshitaki kwa kitendo alichofanya na kunisababishia usumbufu?
 
Sasa we unapiga mzigo unamwagia na ndani ulikuwa unawaza nini? Ulikuwa unamuuliza mwenzio kama yupo sawa?

Acha ujinga kumtesa mwenzako, huyo ni mtoto wako, kipindi anakuja geto unampelekea moto hadi unapigiamo na bao ulikua hufahamu kama ikitokea akafariki ukiwa nae geto itakuwaje, ila baada ya kuzaa ndipo akili imekuja eti vipi akifia kwako...

Laana zingine mnajitengenezea wenyewe baadae mnaharibikiwa maisha mnaanza kumtafuta mchawi.
 
Imetokea kuna binti 21 yrs, nilikuwa napunguza naye upwiru (siyo mchumba), akapata mimba na kujifungua mtoto. Wazazi wake hawanijui hata chembe maana ni miji (, hometowns) yetu ni tofauti na iko mbalimbali lkn binti kanitaja wao kuwa a kunisababishia usumbufu?
Ndoa ni mkataba wa hiari, ndoa ya lazima sio ndoa, hata sheria haiitambui. hata ukifunga kama kuna ushahidi kwamba ulilazimishwa, haitatambulika kisheria kama ni ndoa.
 
ndoa ni mkataba wa hiari, ndoa ya lazima sio ndoa, hata sheria haiitambui. hata ukifunga kama kuna ushahidi kwamba ulilazimishwa, haitatambulika kisheria kama ni ndoa.
Ye kipindi anazungusha kiuno kama feni mbovu anajiona fundi kitandani na ana nguvu za kiume alikuwa hajui kuna mimba? Sasa hivi kamzalisha binti wa watu anategemea nani ndio amuoe huyo binti.
 
Mimi sina cha kukutetea! Hata kama huyo binti simjui! Ni kukutamkia mabaya tu!

Kama utamwacha wakati umesababisha hiyo mimba, Matatizo na shida atakazopata huyo mtoto zikupate wewe ko kote utakako kwenda! Na usifanikiwe katika maisha yako yote!

Utatafuta kazi hutapata na kama unayo ufukuzwe,utaandamwa na mikosi isiyoisha katika biashara zako na huyo utakayemwoa badala ya bint huyo uliyemtia mimba ukamwacha! Mpaka hapo akili itakapokurudi na kumkumbuka huyo bint uliyemtia mimba na kumwachia matatizo huyo mtoto.
 
Ila dunia hii, kuna watu wengine wanatafuta watoto still hawapat kuna mijitu mingine inakataa watoto.
Shwain kabisa wewe umemuharibia mtoto wa watu maisha then unamtelekeza,nakwambia laana inakutafuta wewe
 
Imetokea kuna binti 21 yrs, nilikuwa napunguza naye upwiru (siyo mchumba), akapata mimba na kujifungua mtoto. Wazazi wake hawanijui hata chembe maana ni miji (, hometowns) yetu ni tofauti na iko mbalimbali lkn binti kanitaja wao kuwa mm ndiye mhudija.

Sasa Jana jioni, baada tu ya mtoto kutimiza miezi 2 baba wa binti kamtimua na kumtaka binti yske aje aishi nami niliyempachika mimba.

Baada ya tafakuri pana na mshikaji wangu wa karibu tukaukwepa mtego huo. Maswali yalikuwa haya:-
1. Kwao hatupajui na ndugu zake hatuwajui, huyu binti akifa je?
2. Itakuwa vipi endapo wazazi wake watatóa taarifa polisi kuwa binti yao kapotea? Nani atatuelewa?

Tukaamua kuwa " kwa kuwa kurudi kwao haiwezekani kutokana na umbali, tutoe taarifa kwa mjumbe na alale kwa mjumbe, halafu kesho yake ageuze kurudi kwao. Tukafanya hivyo na asubuhi akapewa nauli na hela ya kula kisha akapandishwa gari.

Je, wadau mpk hapa niko salama? Sheria zinasemaje kuhusu kuzaa na mtu vs kumuoa? Mzazi huyu (baba wa binti) siwezi kumshitaki kwa kitendo alichofanya na kunisababishia usumbufu?
What goes around cames around,hauwezi kumfanyia unyama mwanamke aliekuzalia mtoto alale kwa mjumbe wa nyumba kumi wakati alikua anakupa mwili wake fikiria kama ndio mwanao au dada yako kafanyiwa hivo na mtoto akikua ataambiwa baba yako alitulaza kwa mjumbe vijana inatakiwa mkuwe na kufikiria vitu kwa upana wake
 
Kisheria hautafungwa ila utaamliwa ku-provide makazi na matunzo ya mama na mtoto. Kiubinadamu kama una uhakika mtoto ni wako na uyo binti hana dosari za kitabia yaani anafaa kuwa mke we mpokee anzisha nae kaya yako. N8mejaribu kuvaa viatu vya uyo binti nimepatwa na huzuni sana. Kwao kafukuzwa aliemtia mimba kamlaza kwa mjumbe dah.! Uyo binti angekua mdogo angu kwa kweli nisingekuacha salama ungetujua vizuri wajaluo ni watu wa aina gani.
 
Imetokea kuna binti 21 yrs, nilikuwa napunguza naye upwiru (siyo mchumba), akapata mimba na kujifungua mtoto. Wazazi wake hawanijui hata chembe maana ni miji (, hometowns) yetu ni tofauti na iko mbalimbali lkn binti kanitaja wao kuwa mm ndiye mhudija.

Sasa Jana jioni, baada tu ya mtoto kutimiza miezi 2 baba wa binti kamtimua na kumtaka binti yske aje aishi nami niliyempachika mimba.

Baada ya tafakuri pana na mshikaji wangu wa karibu tukaukwepa mtego huo. Maswali yalikuwa haya:-
1. Kwao hatupajui na ndugu zake hatuwajui, huyu binti akifa je?
2. Itakuwa vipi endapo wazazi wake watatóa taarifa polisi kuwa binti yao kapotea? Nani atatuelewa?

Tukaamua kuwa " kwa kuwa kurudi kwao haiwezekani kutokana na umbali, tutoe taarifa kwa mjumbe na alale kwa mjumbe, halafu kesho yake ageuze kurudi kwao. Tukafanya hivyo na asubuhi akapewa nauli na hela ya kula kisha akapandishwa gari.

Je, wadau mpk hapa niko salama? Sheria zinasemaje kuhusu kuzaa na mtu vs kumuoa? Mzazi huyu (baba wa binti) siwezi kumshitaki kwa kitendo alichofanya na kunisababishia usumbufu?
Kwa taarifa yako wala sisi hatutahangaika na kujua sheria inasemaje, tutaenda kimila tu na tutakunyoosha! Yaani umfanye binti yetu awe single maza kwa uzembe wako tu wa kukwepa majukumu? Hatukubali cha moto utakiona! Dogo hapo mtaani kwako ukisikia kuna mwamba jongoo hapandi mtungi ni pamoja na matukio kama haya! Au ukiona mtu alishakuwa chizi wa kuokoteza chakula majalalani ni pamoja na hayo! Kazi unayo! Mtafute huyo binti myamalize kiutu uzima, ukaombe radhi kwao na ujitambulishe rasmi awe mkeo. Utupunguzie jam mtaani!
 
What goes around cames around,hauwezi kumfanyia unyama mwanamke aliekuzalia mtoto alale kwa mjumbe wa nyumba kumi wakati alikua anakupa mwili wake fikiria kama ndio mwanao au dada yako kafanyiwa hivo na mtoto akikua ataambiwa baba yako alitulaza kwa mjumbe vijana inatakiwa mkuwe na kufikiria vitu kwa upana wake
Jamaa alifanya unyama mkubwa sana hapa ni afadhari angelala sebureni amwache binti na mtoto walale chumbani mpaka asubuhi, kwa usiku mmoja tu wala asingezulika na chochote.
 
alafu mkija huku mnatukana single Moms mliowalaghai wenyewe.

Mkija huku mnasema feminists ndo wanaongoza kwa kuwa single mothers😏 sasa huyo angekua anajielewa na yuko kazini angekua anaburuzwa hivyo? Men are so selfish ndo maana nawachamba humu jf
 
Back
Top Bottom