Stephano Shahidi
Member
- May 28, 2023
- 61
- 79
Ni wako ndio kubali maana mtoto wa mwenzio ni wakoWadau habarini,
Kuna mwanamke mmoja nilikuwa na mahusiano nae, baada ya miezi mitatu ananiambia ana ujauzito nilipomwuliza kwa kina akasema ni wangu. Baada ya wiki mbili akanionesha mstar uliochora katikati ya tumbo akisema mimba Ina miezi mitatu kwenda wa nne huku Ina mstari. Nilipowashirikisha marafiki wakasema mimba hiyo Ina miez mitano. Baada ya miezi minne alijifungua. Kwangu nikimwesabia miezi toka tarehe niliyoanza nae kulala ni miezi 7 tarehe 27/11/2022 mpaka tarehe 14/06/2023 alijifungua tarehe 14/06/2023 Sasa anasema atajuaje kuwa mtoto ni wa nani? (Kumbuka alipata shida ya kupata ujauzito takribani miaka 5 baada ya kuwa na watoto 4 kwahiyo alikata tamaa ya kupata ujauzito akawa anajiachia kwa mwanaume yeyote bila wasiwasi) Sasa ananing'ang'anizaa mtoto awe wangu nami namjibu kinusunusu nikimkataa anasononeka nikimkubali anafurahi wakati huo moyoni najua mtoto siyo wangu Sasa nifanye nini kuondokana na jambo hili?
Labda hali ya uchumiHao wanaume wengine hawajui? Kwa nini akusakazie wewe peke yako?
Huu ni ushauri na tusi kwa mleta uzi auzingatie sana
Mambo yake aachiwe mwenyewe...
Single maza wa watoto wanne na wewe ukalinga tela?Kumbuka alipata shida ya kupata ujauzito takribani miaka 5 baada ya kuwa na watoto 4 kwahiyo alikata tamaa ya kupata ujauzito akawa anajiachia kwa mwanaume yeyote bila wasiwasi)
Ukimwi hautaisha ndugu yangu....ππMwanamke ana watoto wanne bado yuko mbioni kusaka watano na kubambikia wanaume kuwa ndio baba!! Na bado akibanwa kwa mahesabu ya mimba mpaka kuzaa anatoa jibu eti yeye atamjuaje baba wa mtoto.
Anatuchosha ki ukweli yaan huyu jamaa!!!!!Umeshasema mtoto sio wako halafu unakuja kutuchosha kwa kutuuliza ufanyeje?
Mbona mnakuwaga wapuuzi kiasi hiki?
πππππHao watoto wanne kawazaaje? Au ndo single maza kila mtoto na baba yake maana angekuwa mke wa mtu asingekusumbua. Pia watoto wanne anahangika azae tena ili iwejee au ana matatizo ya akili?