Naleta Ugomvi: Kati ya Pengo Makeke na Mr. Dude nani alifanya utapeli ulioakisi uhalisia?

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842
Kama utakuwa mtu wa kushinda mtandaoni basi utakuwa umebahatika kuona content za Pengo Makeke ambazo amekuwa akionesha utapeli. Maudhui hake yana ufanano na maudhui ya Kulwa Kikumba au Mr Dude.

Ili kumjua Dude inabidi uwe umezaliwa miaka sio chini 1999 na kwenu kulikuwa na TV ili kuwa na uhakika wa ile kipindi inaitwa Bongo Dar es Salaam.

Kwanza niwape tofauti, Mr. Dude alikuwa anavaa suti na cheni nzuri ili kuendana na nafasi anayoikaa, yaani akisema yeye ni bosi basi hauchomoi kwa jinsi amevaa. Pengo Makeke anavaa koti lina rangi nyingi na yeboyebo zenye sura ya nguruwe, ambavyo ni ngumu kusema Mkurugenzi akaaminika.

Dude alikuwa anaigiza kuwa ana network of people katika kazi yake. Pengo Makeke anaonesha ni jeshi la mtu mmoja.

Anyway, wewe tia neno, je unadhani itafika yime watu watamuogopa Makeke kama ambavyo watu walimuogopa Dude japo ilikuwa ni maigizo tu.
 
Mambo yao waachie wenyewe
 
Hayo mambo ya low IQ yaacheni huko huko mnakufuatilia. Typical mindset za kibongo-bongo, kushabikia na kubishania maisha ya watu.
 
Acha kufananisha Dude na watoto

Ni sawa na Dhalmendra na Sunny Deol

Kila mmoja amejitahidi katika zama zake lakin mtoto ni mtoto na atabaki mtoto huku baba ni baba na atabaki kuwa baba tu
 
Back
Top Bottom