Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Mambo yao waachie wenyeweKama utakuwa mtu wa kushinda mtandaoni basi utakuwa umebahatika kuona content za Pengo Makeke ambazo amekuwa akionesha utapeli. Maudhui hake yana ufanano na maudhui ya Kulwa Kikumba au Mr Dude.
Ili kumjua Dude inabidi uwe umezaliwa miaka sio chini 1999 na kwenu kulikuwa na TV ili kuwa na uhakika wa ile kipindi inaitwa Bongo Dar es Salaam.
Kwanza niwape tofauti, Mr. Dude alikuwa anavaa suti na cheni nzuri ili kuendana na nafasi anayoikaa, yaani akisema yeye ni bosi basi hauchomoi kwa jinsi amevaa. Pengo Makeke anavaa koti lina rangi nyingi na yeboyebo zenye sura ya nguruwe, ambavyo ni ngumu kusema Mkurugenzi akaaminika.
Dude alikuwa anaigiza kuwa ana network of people katika kazi yake. Pengo Makeke anaonesha ni jeshi la mtu mmoja.
Anyway, wewe tia neno, je unadhani itafika yime watu watamuogopa Makeke kama ambavyo watu walimuogopa Dude japo ilikuwa ni maigizo tu.
Hayo mambo ya low IQ yaacheni huko huko mnakufuatilia. Typical mindset za kibongo-bongo, kushabikia na kubishania maisha ya watu.Kama utakuwa mtu wa kushinda mtandaoni basi utakuwa umebahatika kuona content za Pengo Makeke ambazo amekuwa akionesha utapeli. Maudhui hake yana ufanano na maudhui ya Kulwa Kikumba au Mr Dude.
Ili kumjua Dude inabidi uwe umezaliwa miaka sio chini 1999 na kwenu kulikuwa na TV ili kuwa na uhakika wa ile kipindi inaitwa Bongo Dar es Salaam.
Kwanza niwape tofauti, Mr. Dude alikuwa anavaa suti na cheni nzuri ili kuendana na nafasi anayoikaa, yaani akisema yeye ni bosi basi hauchomoi kwa jinsi amevaa. Pengo Makeke anavaa koti lina rangi nyingi na yeboyebo zenye sura ya nguruwe, ambavyo ni ngumu kusema Mkurugenzi akaaminika.
Dude alikuwa anaigiza kuwa ana network of people katika kazi yake. Pengo Makeke anaonesha ni jeshi la mtu mmoja.
Anyway, wewe tia neno, je unadhani itafika yime watu watamuogopa Makeke kama ambavyo watu walimuogopa Dude japo ilikuwa ni maigizo tu.
Yaani mimi nilipima IQ yangu nikakuta ni 0 na naishi tuHayo mambo ya low IQ yaacheni huko huko mnakufuatilia. Typical mindset za kibongo-bongo, kushabikia na kubishania maisha ya watu.