muamala.ebu tutiane moyo kwani mungu ndo anaye jua,ivi we jamaa, nikweli nacte huwa wanapenda kukosesha watu kwenda vyuoni,kuna jamaa mmoja anasema hivi hawa jamaa NACTE huwa hawaachi mtuyeyote sielewi ni kweli au
vp kuhuhusu posibility ya mkopo maana kozi za pale zote waliziwekea loan
Mie nawaza upatikanaji wa hostel tu mambo mengine mbele kwa mbele
Jamani naomba kuuliza mimi nimechaguliwa chuo ila nikiingia kwenye system ya tcu sion jina langu nimemaliza diploma inakuaje apo jamani wakuu
bwana ngumukumeza ni sahihi kabisa hiyo tarehe ya kufungua.. Hizo ni true detail ambazo tumezitoa kwa uongozi wa chuo!! Karibu sana nit!
umechaguliwa chuo gani ? Hautaweza kuona jina lako kwenye system ya tcu sababu wewe umedahiliwa na nacte.,subiri nacte watoe majina yote ndo utajiona.
nimechaguliwa mt meru unversty jina langu lipo sasa nahofia nisije nikakosa