Naliona anguko la Diamond linakuja kwa kasi

Mwanche aanguke amesaidia nini shule, hospitali au jamii?
 
Weka picha
 
Mwanche aanguke amesaidia nini shule, hospitali au jamii?
..
shule,Amewahi kutoa madawati zaidi ya mia tatu shule ya msingi Tandale(nakukumbusha gharama ya kuchonga dawati moja ni shillingi 60000 hadi 70000) angeweza kumnunulia pafyumu mpenzi wake wa kipindi hicho na kuacha kuchonga dawati moja...

Hospitali,amewahi kugharamikia matibabu ya watanzania wenzake kadhaa ikiwa pamoja na yule mtoto aliyekuwa na tatizo la miguu..

kijamii,kupitia label yake ya wasafi pamoja na Wasafi media vijana wengi wameajiriwa kwenye uwekezaji wake huu,pia mara kadhaa amefuturisha majirani zake na mambo kadha wa kadha amesaidia jamii mengi nashindwa kuhesabu..
NB:fanya kazi kijana chuki ni uchafu wa moyo ni hasara kuwa nayo
 
Huu mwandiko naujua kabisa broh [emoji28][emoji28]

Hii ndo id ya kazi sio ?
 
Teoops ya diamond fans wanakuja hapa , tegemea mawe 🤣🤣🤣
 
Jibu zuri kabisa Kwa mleta mada.
 
Nothing lasts forever
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…