Naliona anguko la Diamond linakuja kwa kasi

Naliona anguko la Diamond linakuja kwa kasi

Tukiachana na ushabiki Diamond siku hizi kaishiwa kabisa no ubunifu yaan ukisikiliza nyimbo anazotoa siku izi na zile za kitambo kuna utofauti mkubwa mno coz siku izi anatoa nyimbo mbovu sana na kinachombeba na kuendelea kusikika ni kuwa na fan base kubwa na video za god father lasivyo...?
Weka picha
 
Mwanche aanguke amesaidia nini shule, hospitali au jamii?
..
shule,Amewahi kutoa madawati zaidi ya mia tatu shule ya msingi Tandale(nakukumbusha gharama ya kuchonga dawati moja ni shillingi 60000 hadi 70000) angeweza kumnunulia pafyumu mpenzi wake wa kipindi hicho na kuacha kuchonga dawati moja...

Hospitali,amewahi kugharamikia matibabu ya watanzania wenzake kadhaa ikiwa pamoja na yule mtoto aliyekuwa na tatizo la miguu..

kijamii,kupitia label yake ya wasafi pamoja na Wasafi media vijana wengi wameajiriwa kwenye uwekezaji wake huu,pia mara kadhaa amefuturisha majirani zake na mambo kadha wa kadha amesaidia jamii mengi nashindwa kuhesabu..
NB:fanya kazi kijana chuki ni uchafu wa moyo ni hasara kuwa nayo
 
Hii thread ya kichawi ina miaka minne sasa..watu wakamponda kijana wetu mara oh show hawezi kupiga tena kwa milioni kumi kashachuja Mond anawasalimia jamani show yake ya chini ni millioni 80,Pia msisahau ndio dominator wa game la muziki Afrika Mashariki na vinginevyo uchawi acheni jamani nyie watoto wadogo
Huu mwandiko naujua kabisa broh [emoji28][emoji28]

Hii ndo id ya kazi sio ?
 
Tukiachana na ushabiki Diamond siku hizi kaishiwa kabisa no ubunifu yaan ukisikiliza nyimbo anazotoa siku izi na zile za kitambo kuna utofauti mkubwa mno coz siku izi anatoa nyimbo mbovu sana na kinachombeba na kuendelea kusikika ni kuwa na fan base kubwa na video za god father lasivyo...?
Teoops ya diamond fans wanakuja hapa , tegemea mawe 🤣🤣🤣
 
Dah we jamaa we,inawezekana kweli anatoa nyimbo mbovu kama unavodai,lakini huoni kwamba jamaa licha ya kutoa izo nyimbo unazoziiita mbovu bado anaendelea kuwa juu?jibu dogo tu jamaa inawezekana hajui mziki km usemavyo lkn,jamaaa anaijua vyema biashara ya mziki na industry inavokwenda kwa ujumla!sasa ww endelea tu na tuhuma zako za kila siku kuhusu eti anguko lake...nazani hii kauli ya Anguko mtaendelea kuisema uku pia mkishuhudia jamaa anazeeka akiwa bdo star anayehit akiwa na heshima kubwa sna ndani na nje ya tz...@jeutanipendaga?
Jibu zuri kabisa Kwa mleta mada.
 
Tukiachana na ushabiki Diamond siku hizi kaishiwa kabisa no ubunifu yaan ukisikiliza nyimbo anazotoa siku izi na zile za kitambo kuna utofauti mkubwa mno coz siku izi anatoa nyimbo mbovu sana na kinachombeba na kuendelea kusikika ni kuwa na fan base kubwa na video za god father lasivyo...?
Nothing lasts forever
 
Back
Top Bottom