Naliona Soko la Mafuta ya Diesel na Petroli likipata changamoto miaka michache ijayo

secret file

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2019
Posts
5,843
Reaction score
8,637
Habari zenu.

Nimekuwa nikifatilia kwa karibu mabadiliko ya technology yanayokuja kwa kasi kwenye vyombo vya moto.

Kuhama kutoka kwenye matumizi ya diesel na petroli kwa mbadala wa umeme. Kama ambavyo tunamuona injinia gwiji Elon Musk kupitia Tesla Electric Cars Solar & Clean Energy anakuja kwa speed hapana shaka gari za umeme zitapelekea demand ya nishati ya mafuta kupungua.

Sijui uchumi wa kiarabu utakuwaje lakini pia sijui wafanyabiashara wa vituo vya mafuta Tz (maarufu sheli) uchumi wao utakuwaje na wamejipangaje? kukabiliana na mabadiliko haya

Na sisi ambao tumejipanga kununua gari za kutumia nishati ya umeme 2021 tumejianda vp!!? kwa maana ya miundombinu ya kuchaji magari tunapokowa kwenye trip ndefu!

Karibuni kwa mjadala.
 
Kama hadi sasa tunatumia magari ya mwaka 80_90 huko, haya ya umeme labda tuwaze miaka 20 au 30 ijayo. Kuruhusu watu wapokee pesa kwa paypal imekuwa kesi ya jinai halafu tutegemee kutumia magari ya umeme siku za karibuni? Waarabu hawana shaka kabisa kuwa Afrika itaendelea kuwa mteja wao mkubwa.
 
It will never happen...
Oil(energy), Medicines and Food controls the world's power...

Kuna conspiracy kubwa sana kwenye mafuta kiongozi...
Kwanza hii ni mbinu ya marekani kuzitisha nchi masikini zinaoibuka kwa kupata mafuta,
Not so long mafuta yatachimbwa sehem nyingi sana za ulimwengu...
Anzia Tanzania mpaka Eritrea.. and it will no longer be a so scarce resource..
Sasa source of power ya USD ipo kwenye mafuta... upate ufaham tu ni kwamba oil yote ya Arab inauzwa kwa USD na sio Dirhams or whatever.. and that's what makes the mighty dollar powerfull..
Sasaivi America imejikita Kwenye kuzalisha highly consumable technologies and Solar power is one of it....
So to be honest .. is just a game... some oil wont be produced anyhow in years for economic and commercial reasons,
Issue ya Solar power inasaidia kuzitisha nchi nyingine kuzalisha kwa kisingizio cha mazingira...
Dunia ina mambo sana..
Just be smart, win your games, observe the trend...
Adios..
 
Sidhani kabisa nafkiri kina Rockefeller hawatakubali na naona hata dola inategemea sana dili za mafuta huyo elon musk anatupumbaza tu na sidhani maeneo kama ya afrika tutaaford bei zao hizo gari kama tu bado tunapambana na umaskini na ujinga sidhani
 
Habari zenu.

Nimekuwa nikifatilia kwa karibu mabadiliko ya technology yanayokuja kwa kasi kwenye vyombo vya moto.

Kuhama kutoka kwenye matumizi ya diesel na petroli kwa mbadala wa umeme. Kama ambavyo tunamuona injinia gwiji Elon Musk kupitia Tesla Electric Cars Solar & Clean Energy anakuja kwa speed hapana shaka gari za umeme zitapelekea demand ya nishati ya mafuta kupungua.

Sijui uchumi wa kiarabu utakuwaje lakini pia sijui wafanyabiashara wa vituo vya mafuta Tz (maarufu sheli) uchumi wao utakuwaje na wamejipangaje? kukabiliana na mabadiliko haya

Na sisi ambao tumejipanga kununua gari za kutumia nishati ya umeme 2021 tumejianda vp!!? kwa maana ya miundombinu ya kuchaji magari tunapokowa kwenye trip ndefu!

Karibuni kwa mjadala.
Kama atafikia kuuza gari zake kwa milion kumi basi nitaamini soko la mafuta litakua limepotezwa rasmi....
 
Sidhani kabisa nafkiri kina Rockefeller hawatakubali na naona hata dola inategemea sana dili za mafuta huyo elon musk anatupumbaza tu na sidhani maeneo kama ya afrika tutaaford bei zao hizo gari kama tu bado tunapambana na umaskini na ujinga sidhani
Hiyo technology wachina wanaweza kukopi...
na kuuza gari kwa bei rahisi kabisa...
 
Wenye uwezo wa kununua gari brand new, ni wachache sana kwa kulinganisha. Same will be the issue.
Ndio maana mpaka leo kuna reli ya kati na magari mikangafu! Muha wapi na wapi na gari luxury!
 
,

hiyo ya kukopi wataweza baada ya muda mrefu na nafkiri hata wakiweza kwa muda huu hizo gari zitakuwa zinalipuka kila ikitimia wiki mbili(joke).......yote kwa yote wataoamua matumizi ya haya magari ndo wale wale wanaoamua mienendo ya kiuchumi kwenye mataifa makubwa ila n long process sana lazima watafuta suluhisho kubwa lenye faida litakaloweza kuondosha hasara watakazopata kwenye viwanda vyao vya mafuta so pia kwa teknolojia mchina anaweza kutengeneza lakini yy mwenyewe anaiona risk iliyoko mbeleni
 
Habari zenu.

Nimekuwa nikifatilia kwa karibu mabadiliko ya technology yanayokuja kwa kasi kwenye vyombo vya moto.

Kuhama kutoka kwenye matumizi ya diesel na petroli kwa mbadala wa umeme. Kama ambavyo tunamuona injinia gwiji Elon Musk kupitia Tesla Electric Cars Solar & Clean Energy anakuja kwa speed hapana shaka gari za umeme zitapelekea demand ya nishati ya mafuta kupungua.

Sijui uchumi wa kiarabu utakuwaje lakini pia sijui wafanyabiashara wa vituo vya mafuta Tz (maarufu sheli) uchumi wao utakuwaje na wamejipangaje? kukabiliana na mabadiliko haya

Na sisi ambao tumejipanga kununua gari za kutumia nishati ya umeme 2021 tumejianda vp!!? kwa maana ya miundombinu ya kuchaji magari tunapokowa kwenye trip ndefu!

Karibuni kwa mjadala.

Ili uendeshe gari ya umeme unahitaji batteries na umeme wa kucharge hizo battery. Huo umeme utatoka wapi? Ndege zinaenda kwa mafuta. So far Hakuna nishati mbadala ya kutumia kwenye ndege.
Natural gas itaendelea kukua sana kibiashara sababu bado ni njia mbadala ya kuzalisha umeme safi.
Hydrogen as a source of energy, inapatikana vip na wapi?
Fuel bado ipo ipo
 
Wauza mafuta wa bongo wala wasiwe na was was .Hizo gar kuja kufika huko sio chin ya 2050
 
Muda ni mwalimu mzuri, ila ninachoamini teknolojia inaenda kasi, usipokubali mabadiliko, mabadiliko yatakubadilisha
 
Wenye uwezo wa kununua gari brand new, ni wachache sana kwa kulinganisha. Same will be the issue.
Ndio maana mpaka leo kuna reli ya kati na magari mikangafu! Muha wapi na wapi na gari luxury!
Tunaonunua magari used ni sisi afrika, na kwa taarifa yako magari yote yaliyopo dunia 97% yapo nje ya afrika
 
Back
Top Bottom