secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Habari zenu.
Nimekuwa nikifatilia kwa karibu mabadiliko ya technology yanayokuja kwa kasi kwenye vyombo vya moto.
Kuhama kutoka kwenye matumizi ya diesel na petroli kwa mbadala wa umeme. Kama ambavyo tunamuona injinia gwiji Elon Musk kupitia Tesla Electric Cars Solar & Clean Energy anakuja kwa speed hapana shaka gari za umeme zitapelekea demand ya nishati ya mafuta kupungua.
Sijui uchumi wa kiarabu utakuwaje lakini pia sijui wafanyabiashara wa vituo vya mafuta Tz (maarufu sheli) uchumi wao utakuwaje na wamejipangaje? kukabiliana na mabadiliko haya
Na sisi ambao tumejipanga kununua gari za kutumia nishati ya umeme 2021 tumejianda vp!!? kwa maana ya miundombinu ya kuchaji magari tunapokowa kwenye trip ndefu!
Karibuni kwa mjadala.