Nimecheka...Ndugu Mzukulu siku nyingine uache Jeuri kwa Wakubwa Zako, kilichokuuma ni kunyooshwa mbele ya mademu
Hii ipo kwenye majeshi ya nchi zote japokuwa siyo lazima iwe kuni. Lengo lilikuwa ni kuwafanya wawe wakakavu na wavumilivu. Ni kawaida kabisa kuona wanajeshi wanapewa amri eg kufyatua matofali halafu yakiwa tayari yanakanyagwa na mkubwa.Nina rafiki aliniambia jeshini walikuwa wanatumwa kwenda kukata kuni mwendo kama wa masaa manne kwenda na kurudi,wakisharudi na kutua mzigo wa kuni kambini anakuja Afande mmoja wa cheo cha juu anasipangusapangusa kwa vidole anawaambia kuni chafu zina vumbi waende mtoni wakazioshe alafu ole wako ukatae, baadaye alikuja kuachana na mambo ya Jeshi kwa sababu kama umekosea MP anakusotesha tu anavyotaka, una haki ya kukataa lakini utapoteza ajira kwa utovu wa nidhamu.
unakuja kuwahoji JF?,ya jeshi waachie wanajeshi,tuache siasa kwenye majeshi,uwepo wao ndio unatufanya sie huku tunalala na kukoroma kwa amaniHilo ni jeshi la wananchi wa Tanzania lazima tuwahoji.
Mzukulu jumapili hamtoki salama
Drone Camera, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kat ya watu wenye sifa hapa tz bas hawa jamaa ni namba wani
Sent using Jamii Forums mobile app
Drone Camera,
Kuna siku rafiki yangu mganda aliingia na gari eti kapotea njia kule morogoro kiwanda Cha milipuko mzinga mazao yaliyomkuta sitayasimulia hapa ! Jeshi noma sana
Enzi zile timu ya jeshi ikiwa inacheza makutupora kwanza raia huruhisiwi kushangilia hata timu yenu ifungwe na wale waliokua wanaruka ukuta kuingia uwanjani walikua wanakamatwa wanaambiwa waungalie ukuta hadi mechi inaisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna siku bro wangu aliniita kambi moja hapa dar wakati wa kuingia nikatembelea mgongo wake nikaingia bila kitambulisho maana alkua ana cheo kikubwa tu...wakati nataka kuondoka akaitwa MP anisindkze maana Id nilikua sina akaanza maswali mbona umevaa viatu vya wazi mara mkanda ukuapi,saa je suruali ndo wanavaag hvo(mlege) akaniambia una bahati sana bro wako anaangalia ungetoka unatembelea mgongo sema nilitoka salama ila niliyo yaona humo nika hairisha na mpango wa kujiunga na jkt...kuna ma askari polisi niliwaona wanahenyeshwa knoma na wajeda,sijui walkua wapo kozi
Ndo maana raia tunaambiwa tusiogee wala kuzoea maeneo ya kambi za majeshi yoyote lakini kuna watu wamezoea hayo maeneo na wanafanya njia kabisa au sehemu ya vijiwe siku ikikutokea unaanza kupiga kelele, wALE WATU WAMESAINI KIFO NI DO OR DIE na mazoezi yao na adhabu zao ni zakifofkifo ndio maisha waliochagua na kupitia hayo ndio wanatuweka salama sisi waoga ambao hata tukiona mazoezi na adhabu zao tunapiga kelele. Hivi wangekuwa wanalelewa nare nare wangepata ujasiri wa kumrarua nduli amini? wangeweza kuikomboa komoro? nk
Umenikumbusha mbali kwenye kudoji afu unauandaa mwili maana hilo doso lake after si mchezoo utachakaa yaani. Shikamoo Jeshi na ni jkt mujibu tu ila sitosahau[emoji3]Kawaida sana kwa mpewa adhabu tena unafurahi sana kwa wewe raia poe sana kama umeumia. Mtu unadoji lakini unaandaa mwili maana tifu lake ni balaa
[emoji3][emoji3][emoji3] ,inabidi kuwapiga stop tu nduguzo kuja kukutembelea aisee, hizo fedheha mmhSakasaka Mao, Kuna watu wanalipa visaai kwa aina. Kuna jamaa yangu ni jeuri kweli huko kamvini kwao sasa siku moja ndugu zake walikuja kumtenbelea kufika getini wakafanyishwa usafi jamaa ile anapota akawakuta akamuuliza mshikaji hivi kweli unawanyanyasa ndugu zangu wakati wamekwambia wanakuja kwangu?
Basi jamaa akawachukua ndugu zake akasepa, ila moyoni akaapa kulipa kisasi.
Siku ya siku yuko getini ndugu ya zake na yule jamaa tena wa heshima wakafika mshikaji akawakamatisha fyekeo.
Jamaa alivyopata taarifa akaja mbio huku analalama aliposogea kutaka kuwatoa ndugu zake fykeo, yule mshikaji akaziweka chemba, akamwambi sogea nikumiminie.
Jamaa hakuwa na ujanja ndugu zake walifyeka mpaka jioni
God save us