davie dee
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 934
- 1,213
Kuna siku bro wangu aliniita kambi moja hapa dar wakati wa kuingia nikatembelea mgongo wake nikaingia bila kitambulisho maana alkua ana cheo kikubwa tu...wakati nataka kuondoka akaitwa MP anisindkze maana Id nilikua sina akaanza maswali mbona umevaa viatu vya wazi mara mkanda ukuapi,saa je suruali ndo wanavaag hvo(mlege) akaniambia una bahati sana bro wako anaangalia ungetoka unatembelea mgongo sema nilitoka salama ila niliyo yaona humo nika hairisha na mpango wa kujiunga na jkt...kuna ma askari polisi niliwaona wanahenyeshwa knoma na wajeda,sijui walkua wapo kozi