Nalipenda sana Jeshi langu la JWTZ ila nilichokiona jana pale TPDF Golf Club getini kabisa hakikuwa cha kiungwana

Nalipenda sana Jeshi langu la JWTZ ila nilichokiona jana pale TPDF Golf Club getini kabisa hakikuwa cha kiungwana

Kuna siku bro wangu aliniita kambi moja hapa dar wakati wa kuingia nikatembelea mgongo wake nikaingia bila kitambulisho maana alkua ana cheo kikubwa tu...wakati nataka kuondoka akaitwa MP anisindkze maana Id nilikua sina akaanza maswali mbona umevaa viatu vya wazi mara mkanda ukuapi,saa je suruali ndo wanavaag hvo(mlege) akaniambia una bahati sana bro wako anaangalia ungetoka unatembelea mgongo sema nilitoka salama ila niliyo yaona humo nika hairisha na mpango wa kujiunga na jkt...kuna ma askari polisi niliwaona wanahenyeshwa knoma na wajeda,sijui walkua wapo kozi
 
Ndio maana ya jeshi, hata mafunzo ya mg'ambo yako very touph.
Hisikii habari ya Al-Shab huko Somalia na Kenya wakikuta mko legege mtapona??
Jeshi lazima uwe strong sio ubwete, acha hizo muraaa!!
 
Nina rafiki aliniambia jeshini walikuwa wanatumwa kwenda kukata kuni mwendo kama wa masaa manne kwenda na kurudi,wakisharudi na kutua mzigo wa kuni kambini anakuja Afande mmoja wa cheo cha juu anasipangusapangusa kwa vidole anawaambia kuni chafu zina vumbi waende mtoni wakazioshe alafu ole wako ukatae, baadaye alikuja kuachana na mambo ya Jeshi kwa sababu kama umekosea MP anakusotesha tu anavyotaka, una haki ya kukataa lakini utapoteza ajira kwa utovu wa nidhamu.
Hii ipo kwenye majeshi ya nchi zote japokuwa siyo lazima iwe kuni. Lengo lilikuwa ni kuwafanya wawe wakakavu na wavumilivu. Ni kawaida kabisa kuona wanajeshi wanapewa amri eg kufyatua matofali halafu yakiwa tayari yanakanyagwa na mkubwa.
 
Yes sir!!
Jeshi tunafundusha nidhamu na uvumilivu tu hakuna mbwembwe pia unanga/k. o na mapuuza mengine ni sehemu ya kujipa 5/5 ili maisha yaende.
Tuliiiiaaaaaaaa!!!!!!!!
 
Mzukulu jumapili hamtoki salama

Yanga FC anafungwa Goli / Bao 2 kwa 0 na Magoli yote hayo yatafungwa katika kila Kipindi. Labda tu Upepo ubadilike au Yanga FC waamue Kumtoa Kafara ya Kifo Mmoja wa Viongozi wao Wakuu hasa wale Wawili. Na wakija Kichwa Kichwa wanaweza hata Kufungwa idadi ya hizo Bao / Goli nilizozitaja hapa Mdau.
 
Drone Camera, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kat ya watu wenye sifa hapa tz bas hawa jamaa ni namba wani

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna Raia Mmoja alijamba sijajua kama ni Makusudi au kwa Bahati mbaya katika Moja ya Geti la Kuingia katika moja ya Ofisi zao na wakamsikia kwani ule Ushuzi ulitoa Sauti ndipo wakamuita na kumuuliza kwanini hakujamba Kiukakamavu na ajikaze asijambe pale Getini na badala yake aende Kujambia kwa mbele Jamaa ( Mhusika ) hakuwa na Jibu na walichomwambia kama sehemu yake ya Adhabu ni kwamba autafute Ushuzi wake ulipoelekea na aondoke nao mule Kambini lakini alishindwa ndipo alipopewa Fyekeo afyeke baadae kidogo wakamuonea Huruma kwakuwa hakuwa Mkaidi ( Mbishi ) na Kumuachia.
 
Drone Camera,
Kuna siku rafiki yangu mganda aliingia na gari eti kapotea njia kule morogoro kiwanda Cha milipuko mzinga mazao yaliyomkuta sitayasimulia hapa ! Jeshi noma sana

Tena ni bora ukosee Kuingia Kambi zote zilizopo Tanzania nzima lakini siyo zilizoko Mkoani Morogoro. Wana Medani ( Wajeda ) hapa nadhani mtakuwa mmenielewa kile ninachomaanisha japo Mimi ni Raia Mzalendo wa Kitanzania.
 
Enzi zile timu ya jeshi ikiwa inacheza makutupora kwanza raia huruhisiwi kushangilia hata timu yenu ifungwe na wale waliokua wanaruka ukuta kuingia uwanjani walikua wanakamatwa wanaambiwa waungalie ukuta hadi mechi inaisha

Sent using Jamii Forums mobile app

Uwanja ule wa Air Wing Ukonga sijajua kama ule Utaratibu wao wa kama Timu za Raia zinacheza pale hawaruhusiwi Kushangilia, Kukohoa na Kuomba omba kila kwenda Kujisaidia haja Ndogo wakati Mechi ikicheza umebadilika Siku hizi. Tuliokuwa Wapenzi wa Boom FC na Ashanti FC tulianza Kujifunza Adabu na Kuacha Uhuni ( Usela Mavi ) Wetu hasa baada ya Mechi zetu kadhaa Kupelekwa huko kwani tulikuwa tukihenyeshwa mno na hadi Bakora tumepigwa nazo za Kutosha tu.
 
Kuna siku bro wangu aliniita kambi moja hapa dar wakati wa kuingia nikatembelea mgongo wake nikaingia bila kitambulisho maana alkua ana cheo kikubwa tu...wakati nataka kuondoka akaitwa MP anisindkze maana Id nilikua sina akaanza maswali mbona umevaa viatu vya wazi mara mkanda ukuapi,saa je suruali ndo wanavaag hvo(mlege) akaniambia una bahati sana bro wako anaangalia ungetoka unatembelea mgongo sema nilitoka salama ila niliyo yaona humo nika hairisha na mpango wa kujiunga na jkt...kuna ma askari polisi niliwaona wanahenyeshwa knoma na wajeda,sijui walkua wapo kozi

Kuna Askari Polisi Mmoja alikuwa anakimbizana na Mvuta Bangi ambapo Yule Mvuta Bangi akaamua Kukimbilia ndani ya Kambi moja ya Jeshi na kwa Ujuha wa Yule Askari Polisi masikini ya Mungu akaingia tena na Sare zake pamoja na Silaha humo Kambini na Kuanza Kupiga Risasi hewani ili Kumtisha Yule Mvuta Bangi na kilichotokea hapo hasa kwa huyo Askari Polisi naambiwa tokea tukio hilo limtokee sasa ni Mwezi wa Tatu na kama ni Kuanza kupata Haja Kubwa ( Kunya ) basi atakuwa ama kaanza Jana au Leo ila alikuwa hawezi hata Kunya kwa Adhabu alizopewa ambazo huko Chuoni Kwao Moshi hawajawahi na hawatowahi Kukumbana nazo.
 
Huu ndo misifa na ujinga wa waswahili
Ndo maana raia tunaambiwa tusiogee wala kuzoea maeneo ya kambi za majeshi yoyote lakini kuna watu wamezoea hayo maeneo na wanafanya njia kabisa au sehemu ya vijiwe siku ikikutokea unaanza kupiga kelele, wALE WATU WAMESAINI KIFO NI DO OR DIE na mazoezi yao na adhabu zao ni zakifofkifo ndio maisha waliochagua na kupitia hayo ndio wanatuweka salama sisi waoga ambao hata tukiona mazoezi na adhabu zao tunapiga kelele. Hivi wangekuwa wanalelewa nare nare wangepata ujasiri wa kumrarua nduli amini? wangeweza kuikomboa komoro? nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kawaida sana kwa mpewa adhabu tena unafurahi sana kwa wewe raia poe sana kama umeumia. Mtu unadoji lakini unaandaa mwili maana tifu lake ni balaa
Umenikumbusha mbali kwenye kudoji afu unauandaa mwili maana hilo doso lake after si mchezoo utachakaa yaani. Shikamoo Jeshi na ni jkt mujibu tu ila sitosahau[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sakasaka Mao, Kuna watu wanalipa visaai kwa aina. Kuna jamaa yangu ni jeuri kweli huko kamvini kwao sasa siku moja ndugu zake walikuja kumtenbelea kufika getini wakafanyishwa usafi jamaa ile anapota akawakuta akamuuliza mshikaji hivi kweli unawanyanyasa ndugu zangu wakati wamekwambia wanakuja kwangu?

Basi jamaa akawachukua ndugu zake akasepa, ila moyoni akaapa kulipa kisasi.

Siku ya siku yuko getini ndugu ya zake na yule jamaa tena wa heshima wakafika mshikaji akawakamatisha fyekeo.

Jamaa alivyopata taarifa akaja mbio huku analalama aliposogea kutaka kuwatoa ndugu zake fykeo, yule mshikaji akaziweka chemba, akamwambi sogea nikumiminie.

Jamaa hakuwa na ujanja ndugu zake walifyeka mpaka jioni

God save us
[emoji3][emoji3][emoji3] ,inabidi kuwapiga stop tu nduguzo kuja kukutembelea aisee, hizo fedheha mmh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom