Nalipenda sana Jeshi langu la JWTZ ila nilichokiona jana pale TPDF Golf Club getini kabisa hakikuwa cha kiungwana

Tena ni bora ukosee Kuingia Kambi zote zilizopo Tanzania nzima lakini siyo zilizoko Mkoani Morogoro. Wana Medani ( Wajeda ) hapa nadhani mtakuwa mmenielewa kile ninachomaanisha japo Mimi ni Raia Mzalendo wa Kitanzania.
Wana medani kiaje? Moro Kuna 92 ambao ni CDO, Kuna 121 field engineer, kuna kinonko, kuna SKU, kuna air force. Medani gani labda unayoizungumzia mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo polisi itakuwa ni nanga!
Hakuna mwanajeshi atekayeweza kunifanya chochote.It's better shooting me to death than beating my body au kunihenyesha.

5/5
 
Rule no.1 always commander is right.
Rule no.2 refer rule no.1
 
muda utasema Mzukulu
 
Acheni kutufunga kamba hapa unajua raia tunadanganywa sana,,zamani tulikuwa tunaambiwa mwanamke aruhusiwi kuwa mwanajeshi kumbe uongo mtupu,,,Mara ooh wanajeshi 2 wanaweza kubeba gari kumbe ujinga mtupu,,Mara oooh wanajeshi wanajua ngumi wakati wanachapwa kila siku na raia... Mdogo wangu ni askari yuko jeshini huko lkn sioni kama ana dalili za kunimudu hata dk 2 kwenye ngumu,,,wapo wengi tu huko hawana lolote zaidi ya kuvaa baka baka tu.
 
Aibu ipo kwako raia wa kawaida Lakini jeshini Hakuna aibu. Sasa jiulize mwenzake kamfanyie vile je wewe atakufanya nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijana! Nadhani umesahau ule usemi wa wahenga usemao "Mambo ya ngoswe muachie ngoswe!"

ᴱᵛᵉʳʸᵇᵒᵈʸ ˡᵒᵛᵉˢ ᵃ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ [emoji377]
 
Chief dakika 45 zote za nini hizo, ukutane na mnaa dakika 15 tu kama hujazirai basi hupo duniani wala akhera! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

ᴱᵛᵉʳʸᵇᵒᵈʸ ˡᵒᵛᵉˢ ᵃ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ [emoji377]
 
Kwa sie ambao tuliowahi kukaa karibu na maeneo ya jeshi ngoja leo niwape kitu.
Ukipita eneo la jeshi then ukikamatwa na mwanajeshi, jifanye bwege wala usijifanye kujua sana akikwambia fanya hivi we fanya ila kama huwezi mwambie siwezi au nilifanyiwa upasuaji ili kujinusuru lakini sio kujifanya mjuaji, ili yasiye kukukuta kama yule mzee aloambiwa ahamishe tofali lakini kwa ujuaji wake na kufahamiana na mkuu wa kambi yakamkuta makubwa wakati anamalizia alichoambiwa akifanye.
Stori ilikuwa hivi:
Mzee alikamatwa na wanajeshi na kuambiwa ahamishe tofali 500 kutoka sehemu moja kwenda nyingine, wakati akiendelea na zoezi hilo akakumbuka kuwa anafahamiana na mkuu wa kambi, hivyo akampigia simu, huku akiwa ameshahamisha tofali kama 450, basi mkuu wa kambi akawapigia simu vijana wake kuwa huyo mzee azirudishe tofali zilipokuwa [emoji38][emoji38][emoji38]sasa zilikuwa zimebaki 50 lakini kwa ujuaji wake ikambidi azirudishiee zile 450. Wakati angemaliza 50 zilizobaki na kuendelea na mambo yake [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

ᴱᵛᵉʳʸᵇᵒᵈʸ ˡᵒᵛᵉˢ ᵃ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ [emoji377]
 
Mwanaharakati wa mitandaoni... We ni keyboard na dole gumba tu.

Umeshindwa kumchana kamanda aache ile tabia, unamuacha unakuja kutuchana sisi.. Sasa si tunafanya vipi mkuu!???

Sent using Jamii Forums mobile app
Etiiii???kwa ushauri kama huu we jamaa una roho mbaya kuliko shetani!!
Ulitaka aoge miche mitatu ya sabuni kwenye maji ya kisado hadi sabuni iishe??
 
Huyo polisi itakuwa ni nanga!
Hakuna mwanajeshi atekayeweza kunifanya chochote.It's better shooting me to death than beating my body au kunihenyesha.

5/5

Acha Kujimwambafai hapa tafadhali kwani hakuna asiyejua kuwa kama kuna Watu ambao mnaongoza kwa Kuteswa, Kuonewa, Kupigwa na Waoga kwa Wanajeshi ni nyie Mapolisi.
 
Ya jeshini waachie wanajeshi.
Kuna askari jirani yetu aliwakusanya familia yake na jirani zake kwenda kupata chanjo ya ugonjwa wa uti wa mgongo hospitali ya jeshi bure.
Ile wamefika tu getini kaambiwa chuchumaa chini, akarushwa kichura chura, kaburuzwa sana mbele ya mkewe, watoto na jirani.
Sasa sijui alifanya kosa gani kabla!
 
Safi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…