Sakasaka Mao, Kuna watu wanalipa visaai kwa aina. Kuna jamaa yangu ni jeuri kweli huko kamvini kwao sasa siku moja ndugu zake walikuja kumtenbelea kufika getini wakafanyishwa usafi jamaa ile anapota akawakuta akamuuliza mshikaji hivi kweli unawanyanyasa ndugu zangu wakati wamekwambia wanakuja kwangu?
Basi jamaa akawachukua ndugu zake akasepa, ila moyoni akaapa kulipa kisasi.
Siku ya siku yuko getini ndugu ya zake na yule jamaa tena wa heshima wakafika mshikaji akawakamatisha fyekeo.
Jamaa alivyopata taarifa akaja mbio huku analalama aliposogea kutaka kuwatoa ndugu zake fykeo, yule mshikaji akaziweka chemba, akamwambi sogea nikumiminie.
Jamaa hakuwa na ujanja ndugu zake walifyeka mpaka jioni
God save us