Gari Moshi
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 680
- 421
Usi ombe siku hiyo awe hajapatikana wa kuteswa hata mmoja hadi jioni alafu ujitokeze kwenye anga zao za makosa.
Ukute hakufanya kosa kubwa kihiivyo lisilowezekana kusameheka, ila basi tu hii ni dunia ya Samaki mkubwa kumla mdogo...!
Sent using Jamii Forums mobile app