Nalipongeza Kanisa moja Katoliki na lile Anglikana kwa kutojiingiza kwenye Siasa za Uchaguzi

Nalipongeza Kanisa moja Katoliki na lile Anglikana kwa kutojiingiza kwenye Siasa za Uchaguzi

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nichukie fursa hii kulipongeza Kanisa moja takatifu Catholico na Apostoliko kwa kutojihusisha na siasa za uchaguzi na badala yake limekuwa likiwaombea viongozi wetu na taifa kwa ujumla.

Nalipongeza sana Kanisa Katoliki na Anglikana kwa kusimama katika nafasi yake nyakati hizi.

Na kipekee nimpongeze mzee wangu wa Kanisa pale St. Alban Prof Palamagamba Kabudi kwa kutoa utumishi uliotukuka katika serikali ya Awamu ya 5.

Nawatakia watanzania wote uchaguzi mwema.

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom