Naliulizia beki la CHAN Mamadou, sio kwa ubaya lakini

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001


KLABU ya Yanga SC ilimsajili na kumtambulisha beki wa kati, Mamadou Doumbia (27) kutoka Stade Malien ya Mali.

Hili lilikuwa beki la CHAN na majina mengine kibao. Baada ya hapo hata bench hakuonekana.

Liko wapi beki la CHAN
 
Lkn bado yupo kwenye program ya Prof Nabi ili kumuingiza kwenye mfumo wake. Ikumbukwe Prof Nabi anamtengeneza mchezaji the way inavyotakiwa
Huyu Nabi aliyefukuzwa El Mereikh baada ya kufungwa na Simba?
 
Reactions: Tui
MamaDou bonge is beki tulieni tuuu....muda mwalim mzuri sana usimalize maneno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…