DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
Kimetanuka wapi????mbele au nyuma?????sasa beki la chan linaanzaje benchUnateseka ukiwa wapi? Mwalimu ndiyo anapanga kulingana na mfumo anaotaka? Yanga kikosi kipana, mwenye uhakika wa kuanza ni Mayele na Diara tu.