Naliulizia beki la CHAN Mamadou, sio kwa ubaya lakini

Naliulizia beki la CHAN Mamadou, sio kwa ubaya lakini

View attachment 2572254

KLABU ya Yanga SC ilimsajili na kumtambulisha beki wa kati, Mamadou Doumbia (27) kutoka Stade Malien ya Mali.

Hili lilikuwa beki la CHAN na majina mengine kibao. Baada ya hapo hata bench hakuonekana.

Liko wapi beki la CHAN
Hivi sio wewe uliyewalinganisha Kibu D na Mayele? 😅😅😅😅

Anyway, ni swala la muda tu, mtafunga midomo. Yanga hatukurupuki, siunaona sasa hivi kitasa anakaa Bacca?

Huyo pia utamuona
 
Hahahahh naskia kazi yake ni kuchunga gombe la kalala
 
Ndunduka muda wa kushona mdomo, beki la kazi linakiwasha
Hamna mchezaji humo matakataka matupu,kwanini hakupangwa dhidi ya Simba au wale ruvu shooting ya songea kule losers cup???
 
Hamna mchezaji humo matakataka matupu,kwanini hakupangwa dhidi ya Simba au wale ruvu shooting ya songea kule losers cup???
Unateseka ukiwa wapi? Mwalimu ndiyo anapanga kulingana na mfumo anaotaka? Yanga kikosi kipana, mwenye uhakika wa kuanza ni Mayele na Diara tu.
 
Back
Top Bottom