Naliulizia beki la CHAN Mamadou, sio kwa ubaya lakini

Naliulizia beki la CHAN Mamadou, sio kwa ubaya lakini

Utahira mwingine bana!! Super ligi kwa wachezaji wa mia mia?. Puuzi ....
Sasa hutaki? CAF ndio wameamua, na hao hao wachezaji wa mia mia hawakutolewa Champions League kuangukia shirikisho 😂😂😂
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Sasa hivi furaha yenu ni kutukera na siyo kuchukua makombe tena??[emoji848][emoji848]
Ok endeleeni kutukera sisi ngoja tuendelee kubeba makombe
Kila mtu ana furaha yake, usimpangie! Tuna furaha kucheza Champions League huku tukiwakera walioshindwa wakaangukia shirikisho 😂
😂😂
 
Sasa hutaki? CAF ndio wameamua, na hao hao wachezaji wa mia mia hawakutolewa Champions League kuangukia shirikisho 😂😂😂
Vipi lokole nini maana sio kwa....!!.
 
MamaDou bonge is beki tulieni tuuu....muda mwalim mzuri sana usimalize maneno
Na ukumbuke jamaa hua ni bingwa wa kuanzisha thread mfu sio muda mrefu yatamtokea puani na hata rudi kwenye hii thread kamwe..
 
View attachment 2572254

KLABU ya Yanga SC ilimsajili na kumtambulisha beki wa kati, Mamadou Doumbia (27) kutoka Stade Malien ya Mali.

Hili lilikuwa beki la CHAN na majina mengine kibao. Baada ya hapo hata bench hakuonekana.

Liko wapi beki la CHAN
Kabla ya kujibu thread hii hebu tupe mrejesho wa Mayele na Kibu Denis nani zaidi? Kisha ndio tuendelee.
 
Na ukumbuke jamaa hua ni bingwa wa kuanzisha thread mfu sio muda mrefu yatamtokea puani na hata rudi kwenye hii thread kamwe..
Mbona kama unajishtukia. Yuko wapi beki wa CHAN. Upo kwenye uzi kama unaoga nje
 
View attachment 2572254

KLABU ya Yanga SC ilimsajili na kumtambulisha beki wa kati, Mamadou Doumbia (27) kutoka Stade Malien ya Mali.

Hili lilikuwa beki la CHAN na majina mengine kibao. Baada ya hapo hata bench hakuonekana.

Liko wapi beki la CHAN
Hata mimi nashangaa kwa nini hachezi. Yanga siyo timu ambayo mchezaji anaweza kutumia miezi eti kuingia kwenye mfumo wa mwalimu. Either mchezaji hana kiwango cha kutosha au kocha ni chenga.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom