DullyJr JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 13,983 Reaction score 11,857 May 13, 2023 #61 Kanali G said: Unateseka ukiwa wapi? Mwalimu ndiyo anapanga kulingana na mfumo anaotaka? Yanga kikosi kipana, mwenye uhakika wa kuanza ni Mayele na Diara tu. Click to expand... Kimetanuka wapi????mbele au nyuma?????sasa beki la chan linaanzaje bench
Kanali G said: Unateseka ukiwa wapi? Mwalimu ndiyo anapanga kulingana na mfumo anaotaka? Yanga kikosi kipana, mwenye uhakika wa kuanza ni Mayele na Diara tu. Click to expand... Kimetanuka wapi????mbele au nyuma?????sasa beki la chan linaanzaje bench
N ndiga JF-Expert Member Joined Jan 28, 2014 Posts 605 Reaction score 614 May 13, 2023 #62 Bigstone said: Huyu huyu kiboko ya Simba! Ngao ya hisani kampora FA cup kampora Ligi Kuu kampora. Nabi Hana hata HURUMA Kwa makolo! Click to expand... Mbumbumbu ni wagumu kuelewa ukweli
Bigstone said: Huyu huyu kiboko ya Simba! Ngao ya hisani kampora FA cup kampora Ligi Kuu kampora. Nabi Hana hata HURUMA Kwa makolo! Click to expand... Mbumbumbu ni wagumu kuelewa ukweli
Kanali G JF-Expert Member Joined Oct 21, 2013 Posts 9,898 Reaction score 14,413 May 13, 2023 #63 DullyJr said: Kimetanuka wapi????mbele au nyuma?????sasa beki la chan linaanzaje bench Click to expand... Yanga bingwa
DullyJr said: Kimetanuka wapi????mbele au nyuma?????sasa beki la chan linaanzaje bench Click to expand... Yanga bingwa
papag JF-Expert Member Joined Jul 31, 2009 Posts 1,156 Reaction score 1,667 May 14, 2023 #64 fimboyaasali said: inakuhusu nini wewe suala doumbia? Click to expand... Anataka adumbiwe