Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
1. Sio mbaya nikiwashukuru wale wote ambao tumefahamiana kupitia jf...
2. Najua wapo nilio wakwaza na pengine nikiwaudhi zaidi, kwa heshima na taadhima nawaomba radhi kwa dhati kabisa....[emoji120]
3. Kuna mengi niliyaandika kama maskhara, utani na pengine kwa kutaka kujifurahisha.
4. Wengi nawashkuru kwa kipindi nilipokua dalali wa viwanja Dodoma na mkaniunga mkono, naamini hamkuwai kujutia kwenye kazi niliyo wafanyia kwa moyo mkunjufu kabisa (naamini sikuwai kumdhulumu wala kumuibia/kumtapeli yeyote).
5. Najua ni ngumu kuondoka hapa ndani moja kwa moja, lakini pengine nikipata wasaha nitakua napitia kuangalia/kusoma yanayo jiri pasipo kuLog in...[emoji3526]
6. Namshukuru sana mke wangu mpenzi kwa uvumilivu/kunifaham wakati wote nilipokua nikiandika nyuzi/comments zisizo mpendeza, hata wakati mwingine nilipo ingia majaribuni hapahapa ndani kwa matumizi mabaya ya shetani alipo nirahisishia matumizi mabaya ya kuzoza..[emoji17]
7. Pia niwapongeze wale wote ambao walifanikiwa kupata vibarua/ajira kwa kupitia Ushimen na natoa pole kwa madogo niliokua nikiwaunganishia michongo ya kazi na pengine bado Mungu hajawanyooshea mkono wake...[emoji41]
8. Wale niliokua nikiwatoa mitonyo pia naomba niwape pole kwasababu this is over...[emoji2958]
9. Wadada nilio watongoza na mkanikataa kwakweli mungu anawaona...[emoji25]
10. Kama kuna yeyote mwenye swali lolote, uhuma, malalamiko, kero ama lolote kutoka moyoni mwake naomba aniulize kabla siku ya kesho haija malizika (nitajibu hata maswali chokonozi).
Asanteni kwa kunisikiliza....