NaLog off

NaLog off

Uteuzi, Yuko karibu na ua ridi
Hapana mkuu....
Sijawai kufanya kazi serikalini na sinto kaa nifanye kazi serikalini.
Na, mimi sio mwana siasa wala kada wa chama chochote, ingawa nimekua mfuatiliaji mzuri sana wa mambo ya kisiasa na watendaji wa serikali
 
Kuna kuondoka bila kuaga, pia kuna kuaga bila kuondoka... nilisema naacha mziki!
Mkuu, sijawai kuaga kwamba nina ondoka Jf.
Lakini pia nimeweka wazi sana kwamba naLog off..☺️
 
Ninachojua ni ngumu sana kuchomoka humu hasa kama umekuwa mwanafamilia kwa muda mrefu. Option ninayoona ni moja tu, upoteze kifaa chako na usiwe na hela ya kununulia kingine, otherwise utashangaa usharudi kwa kusoma na baadae kuchangia kabisa. Kazi mbona zipo tu na tunajumuika kama kawaida humu.

Niliweka resulution ya kupunguza muda mitandaoni ndio maana nimekuuliza sababu na strategy zako. Bado naona ni ngumu tu...!
Kwangu ni rahisi mkuu, na pengine niseme tu kwamba sababu sio kazi (siku zote nimekua nafanya kazi) except mwaka 2017 ndio sikufanya kazi kwa mwaka mzima.
Nadhani majuku ndio yameongezeka na hata pia pombe nimeamua kupumzika kuanzia sasa...☺️
 
Kwangu ni rahisi mkuu, na pengine niseme tu kwamba sababu sio kazi (siku zote nimekua nafanya kazi) except mwaka 2017 ndio sikufanya kazi kwa mwaka mzima.
Nadhani majuku ndio yameongezeka na hata pia pombe nimeamua kupumzika kuanzia sasa...[emoji3526]

Unaacha pombe, maisha yafaa nini basi!!
 
Kwangu ni rahisi mkuu, na pengine niseme tu kwamba sababu sio kazi (siku zote nimekua nafanya kazi) except mwaka 2017 ndio sikufanya kazi kwa mwaka mzima.
Nadhani majuku ndio yameongezeka na hata pia pombe nimeamua kupumzika kuanzia sasa...[emoji3526]
Niambie umejipa hobby gani badala ya hii.
 
Niambie umejipa hobby gani badala ya hii.
Mkuu....
Mimi ni msomaji mzuri sana wa vitabu, na ninafikiri nitaongeza muda wa mazoezi na kusoma vitabu zaidi
 
Kila la heri kiongozi, nitayamiss mapengo hahaha!
😂😂😂😂😂..... Asante sana mkuu, kuna mwali hapa hua ananiona kama nina mwanya tu.....🤣🤣🤣
 
Mwenyezi Mungu akuzidishie pale ulipopunguza na akulipe enye heri pale ulipowasaidia wengine..

kila la heri mkuu..
 
Back
Top Bottom