NaLog off

NaLog off

All the best bro.
Kule kwenye Jukwaa la Ajira usiache kutu-update zikitokea fursa.
 
naona wakongwe mmeamua ku withdrawal kabisa kwenye hii Forum. tatizo nini
 
Lol. Kama usemavyo kuwa majukumu yamechangamka Baba Mchungaji kila la kheri katika kuyafanikisha.

Ila yakipooza ujage tu tusaidiane kuyasukuma kidogo kidogo. 😂😂😂😂
 
Lol. Kama usemavyo kuwa majukumu yamechangamka Baba Mchungaji kila la kheri katika kuyafanikisha.

Ila yakipooza ujage tu tusaidiane kuyasukuma kidogo kidogo. 😂😂😂😂
Usjali mama mchungaji, bado nitaendelea kuweo ingawa sinto login
 
Usisite kutaja ID yako mpya utakayo kuja nayo.
 
8. Wale niliokua nikiwatoa mitonyo pia naomba niwape pole kwasababu this is over
Usipowapa wewe huo mtonyo watapewa na watu wengine ambao ni wasamaria wema. Hii Tanzania ina watu zaidi ya milioni 44.
 
Back
Top Bottom