NaLog off

Mkuu Ushimen,
  • Kwanza huwa nakubali sana masihara yako, huwa nacheka sana nikikusoma.
  • Nini kimekufanya kuamua kuachana na mtandao huu unaotoa elimu, maarifa na info za kutosha?
  • Umetumia mbinu gani za kujihakikishia kuwa hutarudi tena humu?
1. Asante kwa nikubali mkuu...
2. Kwasasa majukumu yame changamka..
3. Nimeweka wazi kwamba naLog off, na nitaendelea kupita hapa na kusoma bila shaka. Isipokua sinto changia/comment chochote kwasababu naLog off..
 
Na atarudi kwa ID ya kike sasaπŸ˜‚ wana jf mbingu mtaisikia tu subirini muone hii mbute itakavyokuja Tena kuwe na mambo motomoto mtu aache kuja humu hahaha jf haiachwi hivyo ndugu by the way nikutakie mapumziko mema.
Sinto kuja na ID nyingine son...
Pia nimekua muwazi sana kuhusu ID zangu za pale kitambo kabla ya hii..
Na siendi kupumzika, zaidi tu niseme nimepata majukumu mapya kuanzia sasa.
 
Sinto kuja na ID nyingine son...
Pia nimekua muwazi sana kuhusu ID zangu za pale kitambo kabla ya hii..
Na siendi kupumzika, zaidi tu niseme nimepata majukumu mapya kuanzia sasa.
Mkuu umepata uteuzi nini? Sio taarifa nzuri,ulikuwa mwanafamilia mchangamfu,tutakumisi sana bro!
 
1. Asante kwa nikubali mkuu...
2. Kwasasa majukumu yame changamka..
3. Nimeweka wazi kwamba naLog off, na nitaendelea kupita hapa na kusoma bila shaka. Isipokua sinto changia/comment chochote kwasababu naLog off..
Mbona hata Mimi boss Mambo ni mengi hospitali lakini nikipata muda nazuka humu

Usiondoke tafadhali [emoji51]
 
Ukichoka mapumziko yako karibu tena Jf.. Sasa sijui utarudi na Id hii hii au utabadili?
 
Tatizo bando....😜😜πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ˜…

Namba 9. Wasamehe buree.
 
1. Asante kwa nikubali mkuu...
2. Kwasasa majukumu yame changamka..
3. Nimeweka wazi kwamba naLog off, na nitaendelea kupita hapa na kusoma bila shaka. Isipokua sinto changia/comment chochote kwasababu naLog off..

Ninachojua ni ngumu sana kuchomoka humu hasa kama umekuwa mwanafamilia kwa muda mrefu. Option ninayoona ni moja tu, upoteze kifaa chako na usiwe na hela ya kununulia kingine, otherwise utashangaa usharudi kwa kusoma na baadae kuchangia kabisa. Kazi mbona zipo tu na tunajumuika kama kawaida humu.

Niliweka resulution ya kupunguza muda mitandaoni ndio maana nimekuuliza sababu na strategy zako. Bado naona ni ngumu tu...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…