NaLog off

Uteuzi, Yuko karibu na ua ridi
Hapana mkuu....
Sijawai kufanya kazi serikalini na sinto kaa nifanye kazi serikalini.
Na, mimi sio mwana siasa wala kada wa chama chochote, ingawa nimekua mfuatiliaji mzuri sana wa mambo ya kisiasa na watendaji wa serikali
 
Kuna kuondoka bila kuaga, pia kuna kuaga bila kuondoka... nilisema naacha mziki!
Mkuu, sijawai kuaga kwamba nina ondoka Jf.
Lakini pia nimeweka wazi sana kwamba naLog off..☺️
 
Kwangu ni rahisi mkuu, na pengine niseme tu kwamba sababu sio kazi (siku zote nimekua nafanya kazi) except mwaka 2017 ndio sikufanya kazi kwa mwaka mzima.
Nadhani majuku ndio yameongezeka na hata pia pombe nimeamua kupumzika kuanzia sasa...☺️
 
Tatizo bando....😜😜πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ˜…

Namba 9. Wasamehe buree.
Nimefulia mwali....😜😜
 

Unaacha pombe, maisha yafaa nini basi!!
 
Niambie umejipa hobby gani badala ya hii.
 
Niambie umejipa hobby gani badala ya hii.
Mkuu....
Mimi ni msomaji mzuri sana wa vitabu, na ninafikiri nitaongeza muda wa mazoezi na kusoma vitabu zaidi
 
Kila la heri kiongozi, nitayamiss mapengo hahaha!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..... Asante sana mkuu, kuna mwali hapa hua ananiona kama nina mwanya tu.....🀣🀣🀣
 
Mwenyezi Mungu akuzidishie pale ulipopunguza na akulipe enye heri pale ulipowasaidia wengine..

kila la heri mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…