TumesusanaaUmenisusa au tumesusana
Usjali mama mchungaji, bado nitaendelea kuweo ingawa sinto loginLol. Kama usemavyo kuwa majukumu yamechangamka Baba Mchungaji kila la kheri katika kuyafanikisha.
Ila yakipooza ujage tu tusaidiane kuyasukuma kidogo kidogo. ππππ
Ooh!! Haya pamoja sana Baba Mchungaji. π€π€Usjali mama mchungaji, bado nitaendelea kuweo ingawa sinto login
Analog off...All the best bro.
Kule kwenye Jukwaa la Ajira usiache kutu-update zikitokea fursa.
Usipowapa wewe huo mtonyo watapewa na watu wengine ambao ni wasamaria wema. Hii Tanzania ina watu zaidi ya milioni 44.8. Wale niliokua nikiwatoa mitonyo pia naomba niwape pole kwasababu this is over
Usipowapa wewe huo mtonyo watapewa na watu wengine ambao ni wasamaria wema. Hii Tanzania ina watu zaidi ya milioni 44.