Huu ni uongo wa mchana kweupe. Tanzania hakuna covid 19. Ama vipimo vya Kenya ni vya uongo au wanafanya njama ya kuichafua nchi yetu kwa kushirikiana na mabeberuMadereva 25 kutoka Tanzania wamezuiwa kuingia nchini Kenya baada ya kukutwa na virusi vya corona.
Kati ya madereva hao 23 ni raia wa Tanzania , mmoja wa Uganda na mmoja kutoka taifa la Rwanda...
umelala na maiti wapi wewe? kuwa mkweli? tulipofika hakuna anayesikia kelele za covid-19 maana nchi nzima wako upande mmoja. Haujagundua?Wewe Waziri wa Afya kweli ni mwanamke unayejua uchungu wa mtoto? Kwenye janga hili la Corona unafuata muongozo upi ambao unaelekea kuiua Tanzania?..
Kutetea interest za chama chaoWazee wa vyama wanaweza kufanya nini?
CCM wanataka Watanzania wafe kwa wingi ili wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu, Daud Bashite na wenyeviti wa Serikali za mitaa wa CCM wameachia watu wakae vijiweni vibarazani makanisani misikitini misibani ili waambukizane wafe kwa wingiWewe Waziri wa Afya kweli ni mwanamke unayejua uchungu wa mtoto? Kwenye janga hili la Corona unafuata muongozo upi ambao unaelekea kuiua Tanzania?...
Kubali watu wanakufa usitake kila mmoja akuletee ushahidi ulipo, Ugonjwa umesambaa kwenye vijiweni vibarazani makanisani misikitini misibani vitu ambavyo vimebarikiwa na viongozi wa CCMumelala na maiti wapi wewe?? kuwa mkweli? tulipofika hakuna anayesikia kelele za covid-19 maana nchi nzima wako upande mmoja. Haujagundua?
CCM inataka watu wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuuKutetea interest za chama chao
CCM wanataka Watanzania wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu hakuna cha vita ya uchumi wala nini hivyo visingizio vya wana CCM havina mashikoNikiwa kama ni mtu ninayeweza kushughurisha akili zangu ninaona habari nyingi ni upuuzi tu, tunaishi wote mitaani na tunasafiri sana tu na tuna ndugu jamaa na marafiki huko mikoani kote,hakuna vifo kama mnavyosema..swala la madereva kukutwa na Covid-19 yamkini ni uongo wa 95%..kuna watu wanasafiri na mabasi...
Vita vya corona haina chama hata wapagani wa vyama ambao ndiyo wengi hawakubaliani na mbinu za Serikali ya CCM kwani Tanzania imeachia watu wakae vijiweni vibarazani makanisani misikitini misibani mikusanyiko misongamano iendelee kama kawaida.Kuna Wakati pia Chadema inapambana yenyewe Kwa yenyewe mkuu
Bora wasitoeIkitokea outbreak ya Colera mbona huwa hawatangazi? na watu hawalalamiki?
Kule spain nilisikia wahudumu wa afya wakilalamika kuwa figure serikali inatoa ni za uongo kwa sababu wao waliacha kuhesabu kwa sabau ya wingi wa maiti. Sasa bora lipi tunyamaziwe au tupewe figure za uongo
Then tukipewa kinafuata nini?
Tuipe serikali uhuru, watangaze wanapoona ni muafaka kwa sababu ya uhamasishaji, wakiona sio salama wasituambie ni kuogopesha raia bure
bora wasitangaze kuondoa taharukiIkitokea outbreak ya Colera mbona huwa hawatangazi? na watu hawalalamiki?
Kule spain nilisikia wahudumu wa afya wakilalamika kuwa figure serikali inatoa ni za uongo kwa sababu wao waliacha kuhesabu kwa sabau ya wingi wa maiti. Sasa bora lipi tunyamaziwe au tupewe figure za uongo
Then tukipewa kinafuata nini?
Tuipe serikali uhuru, watangaze wanapoona ni muafaka kwa sababu ya uhamasishaji, wakiona sio salama wasituambie ni kuogopesha raia bure
Hizo Sababu za CCM kuwasingizia uongo mabeberu kwa uzembe wao wenyewe Hazina mashiko, madereva wanateseka kwa sababu ya uzembe wa Serikali ya CCM kukuchukulia poa vita ya coronaHuu ni uongo wa mchana kweupe. Tanzania hakuna covid 19. Ama vipimo vya Kenya ni vya uongo au wanafanya njama ya kuichafua nchi yetu kwa kushirikiana na mabeberu
Huu ugonjwa ulianzia nchi gani? Sisi ndio tumeusambaza duniani kote sio?Tumekuwa kiwanda cha kusambaza hii kitu yaani
CCM hawataki kutangaza takwimu wanataka watanzania wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuuBora wasitoe
bora wasitangaze kuondoa taharuki
ni kama enzi za Ukimwi unaingia tulipewa stori nyingi za kutisha na ndio chanzo cha unyanyapaaji ulivyozaliwa
Pengine Tanzania ndiyo inausambaza Africa yoteHuu ugonjwa ulianzia nchi gani? Sisi ndio tumeusambaza duniani kote sio?
Hatua zote hizi zilizochukuliwa kama hazitoshi, inabidi upendekeze nini kifanyike kuliko kuishia kulalamika tuSerikali ya CCM pamoja na Rais, waitishe kikao cha dharura kulinusuru taifa. Hili swala halina chama wala kabila, ni swala la dharura la kitaifa. Mambo yanaelekea kubaya.
Tumefika babaya tunatengwa na majirani pamoja pamoja na jumuiya ya kimataifa, na hii inatokana na makasa tunayofayanya kama taifa. Hatujafika sehemu ya kujitenga na jumuiya ya kimataifa. Hili ni gazette la the The Standard la KenyaView attachment 1449158
View attachment 1449163
Majirani wameshituka sasa hawataki ujingaSafi sana sana......tunataka kuua majirani zetu.....