Namanga: Madereva 23 toka Tanzania wazuiliwa kuingia Kenya baada ya kukutwa na COVID-19

Namanga: Madereva 23 toka Tanzania wazuiliwa kuingia Kenya baada ya kukutwa na COVID-19

Madereva 25 kutoka Tanzania wamezuiwa kuingia nchini Kenya baada ya kukutwa na virusi vya corona.

Kati ya madereva hao 23 ni raia wa Tanzania , mmoja wa Uganda na mmoja kutoka taifa la Rwanda...
Huu ni uongo wa mchana kweupe. Tanzania hakuna covid 19. Ama vipimo vya Kenya ni vya uongo au wanafanya njama ya kuichafua nchi yetu kwa kushirikiana na mabeberu
 
Wewe Waziri wa Afya kweli ni mwanamke unayejua uchungu wa mtoto? Kwenye janga hili la Corona unafuata muongozo upi ambao unaelekea kuiua Tanzania?..
umelala na maiti wapi wewe? kuwa mkweli? tulipofika hakuna anayesikia kelele za covid-19 maana nchi nzima wako upande mmoja. Haujagundua?
 
Wewe Waziri wa Afya kweli ni mwanamke unayejua uchungu wa mtoto? Kwenye janga hili la Corona unafuata muongozo upi ambao unaelekea kuiua Tanzania?...
CCM wanataka Watanzania wafe kwa wingi ili wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu, Daud Bashite na wenyeviti wa Serikali za mitaa wa CCM wameachia watu wakae vijiweni vibarazani makanisani misikitini misibani ili waambukizane wafe kwa wingi
 
umelala na maiti wapi wewe?? kuwa mkweli? tulipofika hakuna anayesikia kelele za covid-19 maana nchi nzima wako upande mmoja. Haujagundua?
Kubali watu wanakufa usitake kila mmoja akuletee ushahidi ulipo, Ugonjwa umesambaa kwenye vijiweni vibarazani makanisani misikitini misibani vitu ambavyo vimebarikiwa na viongozi wa CCM
 
Safi sana sana......tunataka kuua majirani zetu.....
 
Nikiwa kama ni mtu ninayeweza kushughurisha akili zangu ninaona habari nyingi ni upuuzi tu, tunaishi wote mitaani na tunasafiri sana tu na tuna ndugu jamaa na marafiki huko mikoani kote,hakuna vifo kama mnavyosema..swala la madereva kukutwa na Covid-19 yamkini ni uongo wa 95%..kuna watu wanasafiri na mabasi...
CCM wanataka Watanzania wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu hakuna cha vita ya uchumi wala nini hivyo visingizio vya wana CCM havina mashiko
 
Kuna Wakati pia Chadema inapambana yenyewe Kwa yenyewe mkuu
Vita vya corona haina chama hata wapagani wa vyama ambao ndiyo wengi hawakubaliani na mbinu za Serikali ya CCM kwani Tanzania imeachia watu wakae vijiweni vibarazani makanisani misikitini misibani mikusanyiko misongamano iendelee kama kawaida.
 
We jamaa umelewa nini? Nani anaishi na maiti huyo badala ya kuzika? Atakuwa mwendawazimu huyo, ni hatua gani zaidi ya hizi zilizochukuliwa unataka zichukuliwe?
 
Ikitokea outbreak ya Colera mbona huwa hawatangazi? na watu hawalalamiki?
Kule spain nilisikia wahudumu wa afya wakilalamika kuwa figure serikali inatoa ni za uongo kwa sababu wao waliacha kuhesabu kwa sabau ya wingi wa maiti. Sasa bora lipi tunyamaziwe au tupewe figure za uongo
Then tukipewa kinafuata nini?
Tuipe serikali uhuru, watangaze wanapoona ni muafaka kwa sababu ya uhamasishaji, wakiona sio salama wasituambie ni kuogopesha raia bure
Bora wasitoe
Ikitokea outbreak ya Colera mbona huwa hawatangazi? na watu hawalalamiki?
Kule spain nilisikia wahudumu wa afya wakilalamika kuwa figure serikali inatoa ni za uongo kwa sababu wao waliacha kuhesabu kwa sabau ya wingi wa maiti. Sasa bora lipi tunyamaziwe au tupewe figure za uongo
Then tukipewa kinafuata nini?
Tuipe serikali uhuru, watangaze wanapoona ni muafaka kwa sababu ya uhamasishaji, wakiona sio salama wasituambie ni kuogopesha raia bure
bora wasitangaze kuondoa taharuki
ni kama enzi za Ukimwi unaingia tulipewa stori nyingi za kutisha na ndio chanzo cha unyanyapaaji ulivyozaliwa
 
Nitajie Mwafrika aliyewahi kujiudhulu kwenye nafasi yenye pesa kisa tu hajatimiza wajibu wake?
Tangu dunia iumbwe sijawahi kusikia.
 
Huu ni uongo wa mchana kweupe. Tanzania hakuna covid 19. Ama vipimo vya Kenya ni vya uongo au wanafanya njama ya kuichafua nchi yetu kwa kushirikiana na mabeberu
Hizo Sababu za CCM kuwasingizia uongo mabeberu kwa uzembe wao wenyewe Hazina mashiko, madereva wanateseka kwa sababu ya uzembe wa Serikali ya CCM kukuchukulia poa vita ya corona
 
Bora wasitoe

bora wasitangaze kuondoa taharuki
ni kama enzi za Ukimwi unaingia tulipewa stori nyingi za kutisha na ndio chanzo cha unyanyapaaji ulivyozaliwa
CCM hawataki kutangaza takwimu wanataka watanzania wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu
 
Serikali ya CCM pamoja na Rais, waitishe kikao cha dharura kulinusuru taifa. Hili swala halina chama wala kabila, ni swala la dharura la kitaifa. Mambo yanaelekea kubaya.

Tumefika babaya tunatengwa na majirani pamoja pamoja na jumuiya ya kimataifa, na hii inatokana na makasa tunayofayanya kama taifa. Hatujafika sehemu ya kujitenga na jumuiya ya kimataifa. Hili ni gazette la the The Standard la KenyaView attachment 1449158
View attachment 1449163
Hatua zote hizi zilizochukuliwa kama hazitoshi, inabidi upendekeze nini kifanyike kuliko kuishia kulalamika tu
 
Piga kazi acha kua muoga! Zingatia barakoa kujizui mizunguko isio lazima nawa mikono kila wakati haya yote na mengineyo lakin pia zingatia lishe nzuri kila skku maana unapiga kazi na kipato unafanikiwa kupata.
 
Back
Top Bottom