Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Huu ni uongo wa mchana kweupe. Tanzania hakuna covid 19. Ama vipimo vya Kenya ni vya uongo au wanafanya njama ya kuichafua nchi yetu kwa kushirikiana na mabeberuMadereva 25 kutoka Tanzania wamezuiwa kuingia nchini Kenya baada ya kukutwa na virusi vya corona.
Kati ya madereva hao 23 ni raia wa Tanzania , mmoja wa Uganda na mmoja kutoka taifa la Rwanda...