Kubali watu wanakufa usitake kila mmoja akuletee ushahidi ulipo, Ugonjwa umesambaa kwenye vijiweni vibarazani makanisani misikitini misibani vitu ambavyo vimebarikiwa na viongozi wa CCM
Corona ikiingia kwa mara ya kwanza huanza kuzoea mazingira kwanza kisha huja na mbinu mpya na kuanza kuua watu kwa kasi kubwaNadhani waTz wote tuna Corona, sema miili imezoea shida hii
Huwezi kuona kila anayekufa kila mtu akifa ndugu yake anaenda kuzika kimya kimyaUko dunia nzima
Wewe umeona aliyekufa? Kubali hata kwa kudanganya
Kwa uwingi huo kaka, ungeona maiti zimelala barabarani na kila nyumba nne ya tano kungekuwa na msiba
Siyo kigezo cha kuacha kutangaza wagonjwa wa corona, hayo magonjwa mengine hayajapelekea lockdowns hayajazuia Ndege kusafiri hayajavuruga uchumi wa DuniaNadhani anataka waanze kutangaza na wenye matatizo ya moyo on a daily basis
kwa hile kamati ya corona bado ipo?Duuuh . . hii sasa imekuwa aibu. Tuiongezee nguvu zaidi kamati ya maafa chini ya Waziri Mkuu
Sawa, endelea kusali na kuomba tufe kwa kasi, 😂😂😂😂, Mungu ameshachagua upande wetuCorona ikiingia kwa mara ya kwanza huanza kuzoea mazingira kwanza kisha huja na mbinu mpya na kuanza kuua watu kwa kasi kubwa
Hahahaaa Drone Camera mwili umeshakihili sio?Kwamba tunacho halafu hatufi.
Umy utamwonea bure, tatizo ni Magu aliye amuwa kulifanya taifa liwe covid-19 reservoir. Huko rubondo aliko ji isolate itafikia point of saturation itamfikia.Wewe Waziri wa Afya kweli ni mwanamke unayejua uchungu wa mtoto? Kwenye janga hili la Corona unafuata muongozo upi ambao unaelekea kuiua Tanzania?
Tumechoshwa na habari za aina hii kila siku. Pia nikueleze kuwa tunachoshwa na madhila tunayoyaona huku mitaani. Hatujazoea kuishi na maiti sisi! Kama unaona huwezi kufuata mwongozo sahihi kuukabili huu ugonjwa basi ondoka ili tujue tutachukua hatua gani.
Umefikia hatua sasa unatukera waziwazi!
Wewe mwenyewe upo mtandaoni unaendelea kupiga story.Hizo story za mitandaoni tu
Nchi ipo salama
Wafunge tu mpaka aisee, kila mtu apambana na hali yake
Hivi kweli updates za ukimwi na marelia huwa hampewi? Inakuwaje kwa tz tunasema njombe inaongoza kwa maambukizi ya vvu? Hivi unajua ni ugonjwa upi unaongoza kwa kisababisha vifo tz?Mbona update za Ukimwi na malaria huwa hatupewi na hamlalamiki?
Mie naona waendelee kupiga kimya tu as long as tunajua Covid 19 ipo mtaani so tuendelee kujifukiza na kujikinga
siku wakiona mambo yao yanakuwa magumu na wakaanza kufungua mipaka mje kishabiki kama hivi basi.Pia zambia wanasema uongo
Wasipo update wewe unateseka?Sasa mimi najiuliza,kama ni hivyo mbona list yetu haijawa updated bado?hii nchi ina mashaka sana.View attachment 1449311
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila siku?Hivi kweli updates za ukimwi na marelia huwa hampewi? Inakuwaje kwa tz tunasema njombe inaongoza kwa maambukizi ya vvu? Hivi unajua ni ugonjwa upi unaongoza kwa kisababisha vifo tz?
Mbona umepanic,tatizo hili halihitaji panic,think critically,be creative.Inajulikana kuwa mambo mabaya yanavuma kuliko mazuri.Ndio maana hata ccm wanaona mabaya ya wapinzani kuliko mazuri and viseversa is true.siku wakiona mambo yao yanakuwa magumu na wakaanza kufungua mipaka mje kishabiki kama hivi basi.
manake mambo mema hamji kishabiki ila mkisikia mabaya ndo mnakurupuka kama nyumbu wanawai kunywa maji mto mara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani tz corona tunapewa kila siku?Kila siku?