Namanga: Madereva 23 toka Tanzania wazuiliwa kuingia Kenya baada ya kukutwa na COVID-19

Namanga: Madereva 23 toka Tanzania wazuiliwa kuingia Kenya baada ya kukutwa na COVID-19

Kubali watu wanakufa usitake kila mmoja akuletee ushahidi ulipo, Ugonjwa umesambaa kwenye vijiweni vibarazani makanisani misikitini misibani vitu ambavyo vimebarikiwa na viongozi wa CCM

Uko dunia nzima

Wewe umeona aliyekufa? Kubali hata kwa kudanganya

Kwa uwingi huo kaka, ungeona maiti zimelala barabarani na kila nyumba nne ya tano kungekuwa na msiba
 
Uko dunia nzima

Wewe umeona aliyekufa? Kubali hata kwa kudanganya

Kwa uwingi huo kaka, ungeona maiti zimelala barabarani na kila nyumba nne ya tano kungekuwa na msiba
Huwezi kuona kila anayekufa kila mtu akifa ndugu yake anaenda kuzika kimya kimya
 
Nadhani anataka waanze kutangaza na wenye matatizo ya moyo on a daily basis
Siyo kigezo cha kuacha kutangaza wagonjwa wa corona, hayo magonjwa mengine hayajapelekea lockdowns hayajazuia Ndege kusafiri hayajavuruga uchumi wa Dunia
 
Corona ikiingia kwa mara ya kwanza huanza kuzoea mazingira kwanza kisha huja na mbinu mpya na kuanza kuua watu kwa kasi kubwa
Sawa, endelea kusali na kuomba tufe kwa kasi, 😂😂😂😂, Mungu ameshachagua upande wetu
 
Sasa mimi najiuliza,kama ni hivyo mbona list yetu haijawa updated bado?hii nchi ina mashaka sana.
Screenshot_2020-05-13-19-31-35-596_com.android.chrome.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahisi kila mmoja sasa ana corona virus mwilini mwake,mapambano huko ndani kwa ndani yatakuwa balaa,ukipona jua kinga za mwili zimekuokoa...na mpango wa Muungu kwa maana ya kudra zzake.
 
Wewe Waziri wa Afya kweli ni mwanamke unayejua uchungu wa mtoto? Kwenye janga hili la Corona unafuata muongozo upi ambao unaelekea kuiua Tanzania?

Tumechoshwa na habari za aina hii kila siku. Pia nikueleze kuwa tunachoshwa na madhila tunayoyaona huku mitaani. Hatujazoea kuishi na maiti sisi! Kama unaona huwezi kufuata mwongozo sahihi kuukabili huu ugonjwa basi ondoka ili tujue tutachukua hatua gani.


Umefikia hatua sasa unatukera waziwazi!
Umy utamwonea bure, tatizo ni Magu aliye amuwa kulifanya taifa liwe covid-19 reservoir. Huko rubondo aliko ji isolate itafikia point of saturation itamfikia.
 
Mbona update za Ukimwi na malaria huwa hatupewi na hamlalamiki?

Mie naona waendelee kupiga kimya tu as long as tunajua Covid 19 ipo mtaani so tuendelee kujifukiza na kujikinga
Hivi kweli updates za ukimwi na marelia huwa hampewi? Inakuwaje kwa tz tunasema njombe inaongoza kwa maambukizi ya vvu? Hivi unajua ni ugonjwa upi unaongoza kwa kisababisha vifo tz?
 
Hivi kweli updates za ukimwi na marelia huwa hampewi? Inakuwaje kwa tz tunasema njombe inaongoza kwa maambukizi ya vvu? Hivi unajua ni ugonjwa upi unaongoza kwa kisababisha vifo tz?
Kila siku?
 
siku wakiona mambo yao yanakuwa magumu na wakaanza kufungua mipaka mje kishabiki kama hivi basi.
manake mambo mema hamji kishabiki ila mkisikia mabaya ndo mnakurupuka kama nyumbu wanawai kunywa maji mto mara.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona umepanic,tatizo hili halihitaji panic,think critically,be creative.Inajulikana kuwa mambo mabaya yanavuma kuliko mazuri.Ndio maana hata ccm wanaona mabaya ya wapinzani kuliko mazuri and viseversa is true.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom