Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Vipi wale wanaofia home NairobiFeel the feeling Tanzanians.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi wale wanaofia home NairobiFeel the feeling Tanzanians.
Serikali ya CCM pamoja na Rais, waitishe kikao cha dharura kulinusuru taifa. Hili swala halina chama wala kabila, ni swala la dharura la kitaifa. Mambo yanaelekea kubaya...
Acha taharuki hata huko kenya kuna COVID19 kedekede kila mahali huo ugonjwa upo usichanganyikiwe changanyikiwe kua mtulivu.Serikali ya CCM pamoja na Rais, waitishe kikao cha dharura kulinusuru taifa. Hili swala halina chama wala kabila, ni swala la dharura la kitaifa. Mambo yanaelekea kubaya...
Nakuomba acha kuongea hii kauli unaumiza wafiwa ambao wamefariki na corona naomba ufute hii kauli kumbuka Mungu yupo na anaona viumbe wake wote ulimwenguni
Ili iweje kwani yeye ndiye kawapa hao madereva hiyo COVID19?au yeye ndiye kaficha dawa ya COVID19?na kama a akijiuzulu ndiyo huo ugonjwa utaisha sekunde hiyo hiyo?mbona unachanganyikiwa sana kupita kawaida?Huyu mama angejiuzulu tu lakini ndo hivyo tena! Hata akiondoka, anakuwa replaced hapo hapo na kazi inaendelea.
Too late to do that now. It seems the damn virus is alll over the country. We still want to know the extent of the infection, so dear our govt be transparent here pleaseNiliandika siku kadhaa kuwa mbinu sahihi ni test, test, test test na anayepatikana unam-isolate kumpatia tiba ya dalili alizonazo; lakini waziri akasema tuna test wale tu wenye dalili au waliokuwa karibu na wenye dalili!
Haya sasa tunaadhirika mpakani na madreva wanarundikana na kuambukizana! Je wanaporudishwa Tanzania, tunachukua tahadhari gani maana sisi vipimo vyetu vinaonyesha hata papai lina corona!
Mbona update za Ukimwi na malaria huwa hatupewi na hamlalamiki?
mie naona waendelee kupiga kimya tu as long as tunajua Covid 19 ipo mtaani so tuendelee kujifukiza na kujikinga
WHO walianza kutoa alert ya kutokupewa ushirikiano wa kutosha
Zambia wamefunga mpaka kwa ajili ya madereva malori 18...
Ikitokea outbreak ya Colera mbona huwa hawatangazi? na watu hawalalamiki?Mbona update za Ukimwi na malaria huwa hatupewi na hamlalamiki?
Mie naona waendelee kupiga kimya tu as long as tunajua Covid 19 ipo mtaani so tuendelee kujifukiza na kujikinga
Pia zambia wanasema uongomlipambanania lockdown mkashindwa sasa hivi mnapambania kusambaza uongo na uzushi bado na hapo mtashindwa pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] Kwa namna hii!!! Kama ni kweli! Natilia mashaka afya zetu, huenda tumeathirika karibu wote Ila cha ajabu, Watanzania wako Imara licha ya kutembea na virusi mwilini mwao, hii Nayo ni ajabu duniani.
Mimi nishauri, ikiwezekana, kuchukuliwe vipimo, virusi wale wapimwe utendaji wao wa kazi kwenye miili yetu Watanzania ili ibainike kama virusi hao hawawezi kutuathiri tuendelee kujichanganya zaidi.
Kuna Wakati pia Chadema inapambana yenyewe Kwa yenyewe mkuuKipaumbele chetu ni kupambana na CHADEMA na sio covid-19!!!
Ukimwi na malaria zina dawa angalau za kupunguza lkn corona bado haijapata dawa wala chanjo.Mbona update za Ukimwi na malaria huwa hatupewi na hamlalamiki?
Mie naona waendelee kupiga kimya tu as long as tunajua Covid 19 ipo mtaani so tuendelee kujifukiza na kujikinga