FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Wafunge kwani yanaambukiza?Siyo kigezo cha kuacha kutangaza wagonjwa wa corona, hayo magonjwa mengine hayajapelekea lockdowns hayajazuia Ndege kusafiri hayajavuruga uchumi wa Dunia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wafunge kwani yanaambukiza?Siyo kigezo cha kuacha kutangaza wagonjwa wa corona, hayo magonjwa mengine hayajapelekea lockdowns hayajazuia Ndege kusafiri hayajavuruga uchumi wa Dunia
Ni kagonjwa kadogo tu hakaHizo story za mitandaoni tu
Nchi ipo salama
kwa nini mnakuwa mawakala wa kusambaza umbea lkn.Mbona umepanic,tatizo hili halihitaji panic,think critically,be creative.Inajulikana kuwa mambo mabaya yanavuma kuliko mazuri.Ndio maana hata ccm wanaona mabaya ya wapinzani kuliko mazuri and viseversa is true.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana kabisa tuna mamilion ya watu wanaumwa corona
Alafu hao madereva mmoja wa uganda na mwingine wa rwanda uhenda wamewekwa kama botion na haya pengine ndio majibu ya kikao chao cha juzi hawa KUR inabidi tuwe nao makini.
Huwezi kuona kila anayekufa kila mtu akifa ndugu yake anaenda kuzika kimya kimya
Serikali ya CCM pamoja na Rais, waitishe kikao cha dharura kulinusuru taifa. Hili swala halina chama wala kabila, ni swala la dharura la kitaifa. Mambo yanaelekea kubaya.
Tumefika babaya tunatengwa na majirani pamoja pamoja na jumuiya ya kimataifa, na hii inatokana na makasa tunayofayanya kama taifa. Hatujafika sehemu ya kujitenga na jumuiya ya kimataifa. Hili ni gazette la the The Standard la KenyaView attachment 1449158
View attachment 1449163
WHO walianza kutoa alert ya kutokupewa ushirikiano wa kutosha
Zambia wamefunga mpaka kwa ajili ya madereva malori 18
Kenya nao 23 sijui watachukua hatua gani
Wazee wa vyama ni mwendo wa kuchekana na kuzomeana kuhusu nani yupo sahihi na nani kashindwa.. national interest zitasubiri baadae
We are totally lost
Tumejiandaa kuishi na Corona kama mahitaji: "labda kuna uwezekano wa kuishi na Corona kama ukimwi tu". Mwisho wa kumnukuu.
Kwa dhana duni kama hizi majirani zetu wangeacha tu kutupima watanzania. Ni vizuri tu waka assume sote tuna Corona.
Rafiki acha mihemko
Nchi gani duniani imeweza ku eliminate corona?
Nchi gani itaweza kuondoa corona??
Hao majirani kila siku wana visa vipya, vinatokea wapi!
Wana wivu tu jembe letu Mh Magufuli anajua jinsi ya kupeleka uchumi mbele hao wengine wanaungaunga tu. Uchumi wetu juu juu zaidi.anyway naona nchi za jirani zimeamua kututangazia takwimu maanake hawa wa huku kwetu wanazingua...kwa makadirio tu tangu utaratibu wa kupima madereva wa kutoka tz umeanza ...naona namba ipo juu sana na inapenda every single day ..just imagine hao ni madereva tu waliotoka katikati ya nchi na DSM...tujiulize wangapi tunao huo ugonjwa bila kujijua....mwisho wa siku we will be reject wherever we go and it is much worse than corona it self....no tourist will come to TZ..no investor will agree to invest here...so government have to think twice ...are they real try to protect or economy or they are taking it to the grave!!!!!!!
Haungeweza kujibu
so na wewe unataka kuleta sias kama kawaida yenu..Huu ugonjwa wa corona nimeanza kuushitukia hapa lazima kuna kitu kinafanyika haiwezekani watu 23 wasiokuwa na dalili zozote zile tena waliotoka kugegedana wakifika kenya ndio wakutwe wana corona