Namanga: Madereva 23 toka Tanzania wazuiliwa kuingia Kenya baada ya kukutwa na COVID-19

Namanga: Madereva 23 toka Tanzania wazuiliwa kuingia Kenya baada ya kukutwa na COVID-19

Najiuliza hao madereva 25 wamekutana na watu wangapi, wamepita sehemu ngapi. Kazi ipo.
 
Kumbe watu wana corona na wanadunda tuu kama kawa, kwa sababu madereva wengi hawana dalili yoyote wao wanapiga gia tu lakini wakipimwa wana corona. Sasa inaonekana kuna kundi kubwa la watu wenye corona lakini wao hawadhuriki, au kama si hivyo basi vipimo ni pancha.
 
Alafu hao madereva mmoja wa uganda na mwingine wa rwanda uhenda wamewekwa kama botion na haya pengine ndio majibu ya kikao chao cha juzi hawa KUR inabidi tuwe nao makini.
 
Mbona umepanic,tatizo hili halihitaji panic,think critically,be creative.Inajulikana kuwa mambo mabaya yanavuma kuliko mazuri.Ndio maana hata ccm wanaona mabaya ya wapinzani kuliko mazuri and viseversa is true.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa nini mnakuwa mawakala wa kusambaza umbea lkn.
hivi mnajua kwamba hamtofanikiwa abadan.ipende nchi kaka yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana kabisa tuna mamilion ya watu wanaumwa corona

Tumejiandaa kuishi na Corona kama mahitaji: "labda kuna uwezekano wa kuishi na Corona kama ukimwi tu". Mwisho wa kumnukuu.

Kwa dhana duni kama hizi majirani zetu wangeacha tu kutupima watanzania. Ni vizuri tu waka assume sote tuna Corona.
 
Alafu hao madereva mmoja wa uganda na mwingine wa rwanda uhenda wamewekwa kama botion na haya pengine ndio majibu ya kikao chao cha juzi hawa KUR inabidi tuwe nao makini.

Tutajidanganya sana Ila tusisahau, wenzetu wamekaa ndani kwa siku zaidi ya 45 wakati sisi tukiambukizana.

Zambia na Al Jazeera nao walikuwa kwenye huo mkutano? Nao waliambiwa watuchomekee nini?

Tunaweza kuwa tunaishiwa maigizo. Mbio za sakafuni hizo .. zinaelekea kunako stahili.
 
Serikali ya CCM pamoja na Rais, waitishe kikao cha dharura kulinusuru taifa. Hili swala halina chama wala kabila, ni swala la dharura la kitaifa. Mambo yanaelekea kubaya.

Tumefika babaya tunatengwa na majirani pamoja pamoja na jumuiya ya kimataifa, na hii inatokana na makasa tunayofayanya kama taifa. Hatujafika sehemu ya kujitenga na jumuiya ya kimataifa. Hili ni gazette la the The Standard la KenyaView attachment 1449158
View attachment 1449163

dah mwana nimeilewa hiyo hapo kwenye attachment kinyama....yaukweli hasa
 
,
WHO walianza kutoa alert ya kutokupewa ushirikiano wa kutosha

Zambia wamefunga mpaka kwa ajili ya madereva malori 18

Kenya nao 23 sijui watachukua hatua gani

Wazee wa vyama ni mwendo wa kuchekana na kuzomeana kuhusu nani yupo sahihi na nani kashindwa.. national interest zitasubiri baadae

We are totally lost

Mkuu wa vyama hao ni wa ku ignore. Hili si suala la siasa at all.

Kuna group jingine hili ni la watu wanaotaka tuwe lost. Hawana hoja haijulikani wanataka nini au hawataki nini. Hawa wako kazini. Wanalipwa kwa kuleta confusion. Wana user ID nyingi na zingine wanazi operate kwa shift. Ziko active 24x7.

Utawajua kwa kejeli na matusi kwani hayo kwao ni kama salamu tu.

Kwamba we are totally lost, hayo ndiyo wanataka. Tukichanganyikiwa ndiyo mafanikio yao.

Tusiwape nafasi ya kujitangazia ushindi to our detriment.
 
Tumejiandaa kuishi na Corona kama mahitaji: "labda kuna uwezekano wa kuishi na Corona kama ukimwi tu". Mwisho wa kumnukuu.

Kwa dhana duni kama hizi majirani zetu wangeacha tu kutupima watanzania. Ni vizuri tu waka assume sote tuna Corona.

Rafiki acha mihemko

Nchi gani duniani imeweza ku eliminate corona?

Nchi gani itaweza kuondoa corona??

Hao majirani kila siku wana visa vipya, vinatokea wapi!
 
Huu ugonjwa wa corona nimeanza kuushitukia hapa lazima kuna kitu kinafanyika haiwezekani watu 23 wasiokuwa na dalili zozote zile tena waliotoka kugegedana wakifika kenya ndio wakutwe wana corona
 
anyway naona nchi za jirani zimeamua kututangazia takwimu maanake hawa wa huku kwetu wanazingua...kwa makadirio tu tangu utaratibu wa kupima madereva wa kutoka tz umeanza ...naona namba ipo juu sana na inapenda every single day ..just imagine hao ni madereva tu waliotoka katikati ya nchi na DSM...tujiulize wangapi tunao huo ugonjwa bila kujijua....mwisho wa siku we will be reject wherever we go and it is much worse than corona it self....no tourist will come to TZ..no investor will agree to invest here...so government have to think twice ...are they real try to protect or economy or they are taking it to the grave!!!!!!!
 
Rafiki acha mihemko

Nchi gani duniani imeweza ku eliminate corona?

Nchi gani itaweza kuondoa corona??

Hao majirani kila siku wana visa vipya, vinatokea wapi!

so your justification ni bora tusonge tukiwa gizani hivyo hivyo...huku maambukizi yakizidi kuongezeka kila kukicha....hebu kuwa walau mwerevu kidogo kijana wangu...
 
anyway naona nchi za jirani zimeamua kututangazia takwimu maanake hawa wa huku kwetu wanazingua...kwa makadirio tu tangu utaratibu wa kupima madereva wa kutoka tz umeanza ...naona namba ipo juu sana na inapenda every single day ..just imagine hao ni madereva tu waliotoka katikati ya nchi na DSM...tujiulize wangapi tunao huo ugonjwa bila kujijua....mwisho wa siku we will be reject wherever we go and it is much worse than corona it self....no tourist will come to TZ..no investor will agree to invest here...so government have to think twice ...are they real try to protect or economy or they are taking it to the grave!!!!!!!
Wana wivu tu jembe letu Mh Magufuli anajua jinsi ya kupeleka uchumi mbele hao wengine wanaungaunga tu. Uchumi wetu juu juu zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haungeweza kujibu

Tokea pande za Ngamiani nimepata habari kuwa mchezaji gwiji wa siku za nyuma wa timu ya taifa na coastal union ya huko ameaga dunia.

Hayupo anaye wish awe kapitiwa na haka ka upepo.

Jamani kule Ngamiani na Majani Mapana tujuzane. Bwana Kampira (rip) hakuwa cha mtoto hawezi asitokomea kimya kimya hivyo.
 
Back
Top Bottom